Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,349
Reaction score
21,802
kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali.

Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased.

Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya wakala, au acc ya benki au kama una mambo ya crypto.

Najua wengi wenu pia mmefatwa na hao machawa kueni makini hao ni watekaji wakiongozwa na yule chawa mkuu humu JF. Kazi yao ni kutisha watu, kulaghai n.k Chukueni tahadhari please.
 
WEKA USHAHIDI HUO HAPA AU NITUMIE PM

MMEONA UONGO WENU UMEGUNDULIKA SASA MNATAFUTA HURUMA KWA NGUVU

HUYU NDO HOV (HAYA LAND) AMEKUJA KUUA MAANDAMANO FAKE NA UTAPELI WA KISIASA WA KUWATUMIA VIJANA

KWAHIYO MILIO ITAKUWA MINGI
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 25
Woiiii si wakuje kwangu wanipe iyo ten Nina shida nayo kinyama. Wanalipa kabla ya kazi au baada ya kazi. Au ni win win situation
 
kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali.

Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased.

Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya wakala, au acc ya benki au kama una mambo ya crypto.

Najua wengi wenu pia mmefatwa na hao machawa kueni makini hao ni watekaji wakiongozwa na yule chawa mkuu humu JF. Kazi yao ni kutisha watu, kulaghai n.k Chukueni tahadhari please.
Kufilisika kwa Samia na watawala wenzake haramu. Huwezi kumaliza tatizo kwa kulifunika.
 
WEKA USHAHIDI HUO HAPA AU NITUMIE PM

MMEONA UONGO WENU UMEGUNDULIKA SASA MNATAFUTA HURUMA KWA NGUVU

HUYU NDO HOV (HAYA LAND)
AMEKUJA KUUA MAANDAMANO FAKE NA UTAPELI WA KISIASA WA KUWATUMIA VIJANA

KWAHIYO MILIO ITAKUWA MINGI
Mr multiple umerudi upyaa naona
 
kuna kikosi mtandao kipo na kina ofisi we angalia ukisema CCM ya samuya sekunde washajibu unajua kabisa hawa wana ofisi mda wote wapo online
Hili lipo wazi Fbn na wana mbinu nyingi sana
 
Back
Top Bottom