Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

Waje pm mie nawasubiri na namba nawapa..na hakuna kitu itakua
 
WEKA USHAHIDI HUO HAPA AU NITUMIE PM

MMEONA UONGO WENU UMEGUNDULIKA SASA MNATAFUTA HURUMA KWA NGUVU

HUYU NDO HOV (HAYA LAND)
AMEKUJA KUUA MAANDAMANO FAKE NA UTAPELI WA KISIASA WA KUWATUMIA VIJANA

KWAHIYO MILIO ITAKUWA MINGI
Hii porojo ya jeshi liko nao,jeshi wako wachache inaendeshwa pia Uganda,museven kajibu vizuri tu
 
Back
Top Bottom