Wamewekezakuna kikosi mtandao kipo na kina ofisi we angalia ukisema CCM ya samuya sekunde washajibu unajua kabisa hawa wana ofisi mda wote wapo online
Kufilisika kwa Samia na watawala wenzake haramu. Huwezi kumaliza tatizo kwa kulifunika.kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali.
Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased.
Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya wakala, au acc ya benki au kama una mambo ya crypto.
Najua wengi wenu pia mmefatwa na hao machawa kueni makini hao ni watekaji wakiongozwa na yule chawa mkuu humu JF. Kazi yao ni kutisha watu, kulaghai n.k Chukueni tahadhari please.
Yaani unauza utu wako kwa ajili ya pesa ??? seriously?Woiiii si wakuje kwangu wanipe iyo ten Nina shida nayo kinyama. Wanalipa kabla ya kazi au baada ya kazi. Au ni win win situation
Elewa Nina shida ya ten, utapeli pia upo.Yaani unauza utu wako kwa ajili ya pesa ??? seriously?
Mr multiple umerudi upyaa naonaWEKA USHAHIDI HUO HAPA AU NITUMIE PM
MMEONA UONGO WENU UMEGUNDULIKA SASA MNATAFUTA HURUMA KWA NGUVU
HUYU NDO HOV (HAYA LAND) AMEKUJA KUUA MAANDAMANO FAKE NA UTAPELI WA KISIASA WA KUWATUMIA VIJANA
KWAHIYO MILIO ITAKUWA MINGI
YES SAFARI HII SIWEZI KUWAPA NAFASI HUU NI MWANZO TU TEGEEMEENI KULIA SANAMr multiple umerudi upyaa naona
UKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KINAMUINGIAMachawa yanakabia juu kila uzi yamo!
We nae walewale chawa mbobevuUKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KINAMUINGIA
HUU UZI WANGAPI MNAZUNGUMZIA MACHAWA?
AKIWEKA USHAHIDI UNI TAGLeta ushahidi hapa
Sio unalopolopoka tu
Halafu mimi wakija nachukua hio 10,000 na bando naendelea pilika zangu, waje tu