Siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi nauza simu S3 ,Nikapata mteja akanitumia SMS ila Ile simu tayari nilishauza.
Nikaona nimtafutie simu kwa mtu mwingine.
Wakati anapelekewa simu akaione kumbe ameshaandaa wezi wake tayari, wakamkaba Yule aliyepeleka simu wakamuibia Ile simu.
Huyu mteja alidai yuko Sinza darajani baada ya tukio akadai yuko Kimara. Na akakana kutaja Sinza.
Mwizi wangu najua humo humu na namba yangu umeichukua humu na umefanya nasambazwa Whatsap Kama mwizi wa simu ila nitakupata tu. Halafu mbaya zaidi ni Mtandao wenye wanaume na wanawake.
Tahadhari ukipata mteja muite aje eneo ambalo ni salama.