Asante Sana mkuu ila pia nimeona uzi Analalamikiwa Mtu mzito huko.Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).
Nisisitize, IWENI MAKINI NA MATAPELI!
Alafu we buji buji nimekutalepi nini acha ujingakevin isaya , Mtu mzito na @raymundo ni watu hatari sana, usiwasogolee, cheza nao mbali kama ukoma
We ni mwiziOffer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
MWIZI MWINGINE HUYU HAPA.. TAHADHARIOffer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
MWIZI MWINGINE HUYU HAPA.. TAHADHARI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nilitapeliwa elfu 30 na mtu aliweka tangazo la kutengeneza app. Iliniuma sana maana nilikuwa nahitaj sana app kwa ajili ya kuniingizia kipato. Mungu atanipigania juu ya huyu tapeli