Josey j
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 908
Habari ndgu wana jamii forums,
Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari
Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho,
Je, unajua mtu anaweza kubeba details zako muhimu za mifumo ya kifedha? Mwisho wa siku unaweza pukutishwa pesa ukaishia kupata kichaa! Kua makini sana na watu wanaoshka simu janja yako
Mtu anaweza kuwepa programme flan kwenye simu yako bila ya wewe kujua mwisho wa siku akapata siri zako nyingi kuhusu wewe na akapanga ni siku gani ya kukuacha masikini ndan ya muda mfupi( hili nime prove mimi mwenyewe) namb ya siri yako ni yangu pia!!