Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

Hujaeleweka unataka kusema nini au unasema nini na Wenye Akili hapa JamiiForums labda kwa Mazuzu tu Umeeleweka.
Mm nilichoelewa ni kwamba mleta mada ni mtaalam wa hiyo michezo ya kuibia watu kupitia simu zao, ila ameamua kuungama na kutuonya. This is his way of confessing as far as I'm concerned.
 
Hii ishu ndgu wana jf nimeprove utendaji wake mimi mwenyewe, it works 98%

Hili jaribio nimefanya kwa boss wangu kwa makubaliano kua sitochukua pesa yoyote ile, alikubaliana na mimi nikafanya kazi ndani ya dakika 7 nlimwambia namb yake ya siri anayotumia na mengne mengi, kiukweli alishangaa sanaa, ni mwezi umepita tangu nimfanyie vile , tangia siku ile amekua akinihofia sanaa na ananiheshimu sana tofauti na mwanzo, na amekua akinitania kua hela zake zikipotea atajua ni mimi, nimempa uhuru kua kama ana wasi wasi abadilishe namb ya siri na asinipe tena simu yake nishike,
Hao jamaa ni htr!!juzi wamenipiga laki mbili sina hamu nao...hofu yangu kubwa naogopa kuweka pesa kwenye ile laini na hisi wanaweza nirudia tena,sijajua kitaalam imekaaje japo nimebadili password
 
Hao jamaa ni htr!!juzi wamenipiga laki mbili sina hamu nao...hofu yangu kubwa naogopa kuweka pesa kwenye ile laini na hisi wanaweza nirudia tena,sijajua kitaalam imekaaje japo nimebadili password
Ilikuwaje? uliwapa simu?
 
Sawa, hilo nalifajhamu. Swali langu lilikuwa, Je mtu anaweza kuchukua taarifa zangu kama password na nyinginezo kama natumia kitochi?
kitochi is safer than a smartphone
 
Back
Top Bottom