Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

Wengine akaunti zao zinasoma zero iwe bank akaunti,tigopesa/Mpesa nk.
Hofu kubwa ni kwenye matumizi ya kihalifu.
Tunashukuru kutukumbusha ila sisi watz hatujazoea kunyimana hata mbususu anapewa yeyote anayeomba bila masharti ya matumizi yake.
 
Umejuaje au umetumia mitambo ipi kujua weye si mwandishi nguli?
sijatumia mitambo ya aina yoyote. Nimetambua kwa sababu nishawah kuambiwa na watu wa karibu kua siwezi kujieleza vzuri kwa maandishi na matamshi, pia mefaham kua si mwandish mzuri kwa sababu najua uandish ni fani ya watu pia kuna kanuni zake ili uandishi wako ueleweke,
 
Hujaeleweka unataka kusema nini au unasema nini na Wenye Akili hapa JamiiForums labda kwa Mazuzu tu Umeeleweka.
 
Wengine akaunti zao zinasoma zero iwe bank akaunti,tigopesa/Mpesa nk.
Hofu kubwa ni kwenye matumizi ya kihalifu.
Tunashukuru kutukumbusha ila sisi watz hatujazoea kunyimana hata mbususu anapewa yeyote anayeomba bila masharti ya matumizi yake.
ukarimu wetu muda mwingine hua unatukosti
 
Hujaeleweka unataka kusema nini au unasema nini na Wenye Akili hapa JamiiForums labda kwa Mazuzu tu Umeeleweka.
mkuu humu jf kuna watu wenye ufahamu tofauti, kuna wengine wataona meleta kitu kdgo mno nadhani wewe ni mmoja wao, yawezekana pia mimi ndio nimechelewa sana kujua mambo ila naamini wapo pia wale ambao wamechelewa zaidi kujua mambo na hao ndio watapata hii elimu,
huu uzi sio level yako mkuu GENTIMYCINE,
 
Umesema kitu cha maana sana hapa ndugu yangu ila tatizo usilolijua ni kwamba at least 95% of all smart phones users are all end users wanaojua kubonyeza button ya simu tu na baada ya hapo hawajui kabisa ni nini huwa kinatokea.

Kwa mtu ambaye anajua kodogo tu namna mawasiliano ya mtandao yalivyo ikiwa ni pamoja na yale ya Komputa; tuseme kwa mfano, ni risk kubwa mno kwa mtu kuwa kwenye group ka whatssup na ambalo meseji ya aina yoyote inaweza kursuhwa kwenye group hilo na kupelekea wewe kukufikia pia. Ni vizuri sana kuwa kwenye ma-group ya ina hii ila pia kuna risks kubwa asana ambazo ziko involved na ambazo end users hawana habari nazo.

Kutokana na hali hiyo, kwa upande wangu mimi, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba nitakapostaafu ndiyo nitaanza sasa kufikiria kujiunga kwenye mojawapo ya magroup ya aina hii
 
Simu Nampa,anaitumia,ananirudishia,tena labda ni ndani ya dakika zisizozidi 5,kwanini nimnyime?
Mtoa mada hajaweka bayana ni namna gani mhalifu anaweza akanitendea uhalifu,bila mimi kujua,kaongea generally.Anyway,asante kwa tahadhari.
Zamani kwenye daladala, mtu anaomba simu anambipu mwizi mwenzie, baada ya dakika 10, mtu anaibiwa simu wanaanzisha kafujo kidogo, then mmoja wao anamwambia abu beep, hapo simu yako inaita, kabla watu wengine hawaja tafakari, tayari umeshapokea kipigo na simu wameshachukua na kushuka.
 
Duuuh! asante.
 

Nashukuru kwa angalizo.
Bora mimi natumia kimulika mwizi (Kitochi) au pia anaweza chukua taarifa zangu.
 
Nashukuru kwa angalizo.
Bora mimi natumia kimulika mwizi (Kitochi) au pia anaweza chukua taarifa zangu.
Mtu tu kutumia line yako uliyosajilia
Kwa mazungumzo,mipango ya kutenda uhalifu,au kutukana mtu nk
Inaweza kuku cost,na hikohiko kitochi chako

Ova
 
Reactions: THT
Mtu tu kutumia line yako uliyosajilia
Kwa mazungumzo,mipango ya kutenda uhalifu,au kutukana mtu nk
Inaweza kuku cost,na hikohiko kitochi chako

Ova
Sawa, hilo nalifajhamu. Swali langu lilikuwa, Je mtu anaweza kuchukua taarifa zangu kama password na nyinginezo kama natumia kitochi?
 
Usemalo ni kweli hasa sisi wazee wa vikao utasikia simu.yako ina dk nimcheki mtu. Mimi huwa nampa buku akanunue vocha amalize shida zake.
 
Walikudanganya.Umeandika vizuri hadi nimetumia uzi wako kuwa marejeo ya habari.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…