Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

Hujaeleweka unataka kusema nini au unasema nini na Wenye Akili hapa JamiiForums labda kwa Mazuzu tu Umeeleweka.
Mm nilichoelewa ni kwamba mleta mada ni mtaalam wa hiyo michezo ya kuibia watu kupitia simu zao, ila ameamua kuungama na kutuonya. This is his way of confessing as far as I'm concerned.
 
Hao jamaa ni htr!!juzi wamenipiga laki mbili sina hamu nao...hofu yangu kubwa naogopa kuweka pesa kwenye ile laini na hisi wanaweza nirudia tena,sijajua kitaalam imekaaje japo nimebadili password
 
Hao jamaa ni htr!!juzi wamenipiga laki mbili sina hamu nao...hofu yangu kubwa naogopa kuweka pesa kwenye ile laini na hisi wanaweza nirudia tena,sijajua kitaalam imekaaje japo nimebadili password
Ilikuwaje? uliwapa simu?
 
Sawa, hilo nalifajhamu. Swali langu lilikuwa, Je mtu anaweza kuchukua taarifa zangu kama password na nyinginezo kama natumia kitochi?
kitochi is safer than a smartphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…