Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Mmmh mbona mnatuogopesha sasa Mungu tuepushe na haya yote Amina
wahuni hawa yaani unasema kuna maadui tokanchi jirani wanapanga kuingizia vikosi kukinukisha hyo tar 9 haafu hapo unatoa ushauri ili hayo yasitokee inabidi kusiwe na maridhiano ambayo wanataka kuyafanya,inatakiwa Rais ajiuzulu mara inatakiwa na uchaguzi urudiwe hapo ndo itakuwa na utulivu hap hayatotokea.. kama kuna wavamizi wa vikos toka nchi jirani why usiombe vyombo vyaulinzi na usalama vijipange kisawasawa kuwadhibiti?? aah michezo hii
 
Hiyo timu ndio kwanza umeiona, mkuu 'VERBOSE'; mbona tulisha ijadili muda kitambo humu humu ilipoletwa na KAVULATA kwenye mada yake, ili kutishia watu!
Lini ilijadiliwa..? acha kuhamisha attention kwa reference ya uongo! hakujawahi jadiliwa jeshi kuwa na timu iko hivi..hapa ndiko kuna tatizo kubwa!
 
Hakuna Muislamu wala Mkristo mwenye nia ya kumdhuru mwenzake. Kama maandamano yatatokea yatakuwa ni mwendelezo wa kilichotokea Oct 29.

Hakuna mtu alikua anajali kuhusu dini ya mwenzake, sio waandamanaji sio wauaji.
Udini haupo Tanzania kilichopo Tanzania ni kukosekana kwa Haki na uonevu manyanyaso ya Polisiccm kuwabambikia kesi za uongo chadema
 
Anguko la Tanzania mbona lipo wazi tu kama nyeti za kuku, haitaji rocket science kuona jambo Hilo.
Muda utaongea.
Utabiri wa sheikh Yahya unaenda kutimia
 
Nunua mchele,unga,dagaa maharage weka ndani..
Hali ikiwa mbaya watakata maji ukitoka kusaka maji unakutana nao, cha muhimu ni kuliombea Taifa liwe na Haki Polisiccm waache kuwabambikia watu kesi za uongo utekaji mauji vikome mara moja
 
Haki ikirejea kukawa na Amani hakuna Tatizo litatokea, Haki ikitawala majanga yanapotea automatic
 
Cha muhimu ni kuirejesha Haki, mahakamaccm Polisiccm waache kufanya kazi kwa mujibu wa Amri Haramu za maccm, wafanye kazi kwa mujibu wa katiba na sheria, Uonevu manyanyaso kuwabambikia kesi za uongo chadema vikome mara moja, urejeshwe umoja wa kitaifa hakika shetani wa kumwaga Damu atakimbia na Nchi itaendelea kuwa ya utulivu na Amani inayoendeshwa kwa misingi ya Haki
 
Naomba Mungu ailinde nchi yetu pendwa.
Hatuna nchi nyingine.
Hivyo Rais na vyombo vya dola waone hili kwa busara na pia wapime kama wao ni bora kuliko Tanzania au la.
Mungu Ibariki 🇹🇿.
Amina .
 
Zile ndoto tunazoziota zitakuwa za kweli. Wengine wanapo pa kuenda na ni rahisi kuenda, wengine hawana. Wanaoelewa waelewe sisi hahehohe tunaangalia na kungoja hatima yetu. Kila la heri.

Zawadini.
 
Acha ikae hivyo nchi hii uroho wa madaraka ni mwingi sana
 
pole mwandishi ndo anachokitaka hicho watu wajae hofu na kuikataa serikali ya nchi yao
Kuna mtu@october2pm aligusia kwa uchache kitu cha namna hii hasa nchi jirani magharibi na kaskazin tafuta uzi wake hupo humu hii mipango huenda hata huko juu wanajua sana na wana exit plan yao tayar
 
Akili kubwa hii.☝️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…