Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa nadhani itasaidia wengi sababu huwa wanawachukulia wasichana wakazi kama wapo salama sana kumbe the opposite
Ni kweli mkuu hiyo nimeona nikivyo panga mabibo kuna Sister mmoja hivi alipanga chumba na sebule... Humo anakaa na mtoto wake, Mdogo wake wa kiume na Dada yake... Na huyo Mdogo wake alikua anashindaga sana chuo na alikua nalala huko lakini likizo analala pale...
Sasa yule mfanyakazi alikua anagegedwa na huyo kijana mida ya chana Sister ake ekienda kuhangaikia tumbo yan chakula... Mbaya zaidi huyo kijakazi alikua na ukimwi..
Na ilijukikana pale ambapo alikua anaongea na Sister mmoja ambaye alipanga chumba kimoja maana lugha ni moja na kabila moja akawa anamwambia nimesahau arv zangu ntafanyeje kupata hapa mjini...
............,..................................
Lakini kijana alikua anajilia tuuu... Lakini kumla mwenye ukimwi sio ni kupata ukimwi inategemeana na mapenzi yenu
Umeongea kweli mkuu walio wengi wanakuwa wameshakubuhu ni wachache ambao wanakuwa hiyo michezo hawajaianza.Hawa mabinti wa vijijini wanangonoka sana tena hovyohovyo si wa kuwaamini kabisa.
sisi Ni watu wazima bana potelea mbali. Siyo kwako tu tumeshasikia huu ushauri ninmiaka nenda Rudi. Qutomber hatutaacha hasa hasa ya kuibia tamu Sana.
Kama Akina Samsoni Na daudi watu way Mungu Hadi Mungu mwenyewe alikuwa Benet nao walishindwa kuvumilia Yani Samsoni Licha ya kutandaza miti uyahuduni hakuridhika alikuwa anafuata nyap Hadi ukanda was Gaza ije iwe sisi kizazi hiki Cha qisayngeh manabii zetu Ni Mzee wa upako Na gwajima?
Tuache bana tutandaze miti Kama ukipangiwa kufa Na ngoma ndio hivyo huwez badilisha
Nimeyashuhudia sana kuna kazi moja nilikuwa nafanya vijijini nimeshuhudia sana.Umeongea kweli mkuu walio wengi wanakuwa wameshakubuhu ni wachache ambao wanakuwa hiyo michezo hawajaianza.
Umeonaee. Kiukweli wengi ni vimeo mkuu.Nimeyashuhudia sana kuna kazi moja nilikuwa nafanya vijijini nimeshuhudia sana.
Ndio watu waelewe humu, hawa wasichana wa kazi ni hatari sana. Pia si uungwana kwa mwanaume kumcheat mkeo kwa house girl.Umeonaee. Kiukweli wengi ni vimeo mkuu.
Walio wengi wenye tabia hizo huwa wanaona ndio uanaume huo ila mie kwa upande wangu nawaona ni wanaume ambao kwanza hawajithamini na hata wake zao hawawathamini sababu mke na msaidizi inatakiwa wawe na utofauti sasa mtu akitaka kuwageuza kuwa ni watu wanaofanana huwa nawashangaa sana aiseee.Ndio watu waelewe humu, hawa wasichana wa kazi ni hatari sana. Pia si uungwana kwa mwanaume kumcheat mkeo kwa house girl.
Ni kutojitambua tu, unajua kuna namna unaweza msababishia sononeko la kudumu mwanamke wako kwa tamaa za kipuuzi sana.Walio wengi wenye tabia hizo huwa wanaona ndio uanaume huo ila mie kwa upande wangu nawaona ni wanaume ambao kwanza hawajithamini na hata wake zao hawawathamini sababu mke na msaidizi inatakiwa wawe na utofauti sasa mtu akitaka kuwageuza kuwa ni watu wanaofanana huwa nawashangaa sana aiseee.
Kweli kabisa Mkuu ila walio wengi wanatanguliza mahitaji yao kwanza hivyo unakuta hata wake zao hawawawazii.Ni kutojitambua tu, unajua kuna namna unaweza msababishia sononeko la kudumu mwanamke wako kwa tamaa za kipuuzi sana.
Unapoanzisha uhusiano ni vema kujitoa sadaka na kuachana na tamaa zisizo za msingi, maana mnakuwa ni kama nafsi moja inayoishi ktk miili miwili.
Heshima ni kitu muhimu sana.Kweli kabisa Mkuu ila walio wengi wanatanguliza mahitaji yao kwanza hivyo unakuta hata wake zao hawawawazii.
Ila ni jambo baya sana kwa baba mwenye nyumba kutembea na mdada wa kazi.
Hakuna watoto wapenda ngono kama wa vijijini tena kule ndani ndani ambapo Barabara kubwa na nzuri ni ile ya Mwenge, kwao ngono haina kipingamiza kabisa, kikubwa wazazi hasa wa kiume wasijue na huyo akija mjini anatembea na yeyote humo ndani hata ikiwezekana baba na watoto wa kiume wote kikubwa ni kujua kuwapanga tuKabisa, ila wanaume wengi huwachukulia hawa mabinti kama washamba na hawajui kitu hivyo hudhani ni salama, hivyo hujiachia sana.
Wawanawake wa kileo hawajitambui ivi kama Boxer na chakula ananipikia house gal ww unategemea nini apo? Unakuta mwanamke kucha ndefu ni yeye na dressing table hata utamu wa K unapungua sass H girl na zile pilikapilika halafu ukivizia walah hutaongea haya apaNi kutojitambua tu, unajua kuna namna unaweza msababishia sononeko la kudumu mwanamke wako kwa tamaa za kipuuzi sana.
Unapoanzisha uhusiano ni vema kujitoa sadaka na kuachana na tamaa zisizo za msingi, maana mnakuwa ni kama nafsi moja inayoishi ktk miili miwili.
Ulimuoa vipi asiyejitambua kama na wewe si mmoja wapo?!Wawanawake wa kileo hawajitambui ivi kama Boxer na chakula ananipikia house gal ww unategemea nini apo? Unakuta mwanamke kucha ndefu ni yeye na dressing table hata utamu wa K unapungua sass H girl na zile pilikapilika halafu ukivizia walah hutaongea haya apa
[emoji1] hatari sana.Hakuna watoto wapenda ngono kama wa vijijini tena kule ndani ndani ambapo Barabara kubwa na nzuri ni ile ya Mwenge, kwao ngono haina kipingamiza kabisa, kikubwa wazazi hasa wa kiume wasijue na huyo akija mjini anatembea na yeyote humo ndani hata ikiwezekana baba na watoto wa kiume wote kikubwa ni kujua kuwapanga tu