Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo.
Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe majibu.
Ukitaka kuamini kasome maoni kwenye page yao ya Instagram
Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe majibu.
Ukitaka kuamini kasome maoni kwenye page yao ya Instagram