Kama mzigo ukipokea nani anaeajibika kulipaMapembelo kumejaa Wakinga humo wanaitumia sana wauza mitumba na nguo wa Kariakoo. Somehow Mapembelo wana kasi kubwa kidogo na bei zao pungufu kiasi kuliko giant mmoja hivi ambaye kila kampuni inashindana nae.
Hujasema ulipoteza mzigo gani kama ni loose cargo kupotea sio jambo geni. Kila kampuni unayoona inapoteza mizigo na kuchelewesha. Hakuna 100% kuwa kila kitu kitakuwa sawa ingawa huduma kwa wateja inabidi iwepo nzuri na fidia ya kupoteza au kuharibika iwepo.
Natumia Silent Ocean. Pia GNM wapo vizuri.
Hili ndio jibu (bold) pigia mstari.Au ndo inakuwa basi tena ishukuru ujipange upya
Kama ni mzigo wa meli tumia silent oceanKuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo.
Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe majibu.
Ukitaka kuamini kasome maoni kwenye page yao ya Instagram
Nashukuru kwa ushauri hawa jamaa wa mapembelo siwezi rudia wala sishauri mtu mwingine ajaribu. Wako hovyo sana na hakuna sehemu inayoboa kama customer careKama ni mzigo wa meli tumia silent ocean
Bora wewe ulienda ofisini kwao, sisi wa online ni maumivuMwezi wa 5 nilikua Guangzhou nikaenda ofisi yao ipo maeneo yanayoitwa Baiyun lake street kama sijakosea nikatuma mzigo flani ila ulifika kwa wakati labda wameanza uhuni sahivi
Tunakoelekea silent ocean atakuja kubaki peke yake, hizi kampuni zingine bure kabisa bora gharama kuliko hizi hasara wanazosababishia watu aisee, toka July????? Hapana aiseeSilent Ocean hawajahi kuniungusha
Noma sanaHili ndio jibu (bold) pigia mstari.
Nenda kwenye page yao ya Instagram.Mapembelo kumejaa Wakinga humo wanaitumia sana wauza mitumba na nguo wa Kariakoo. Somehow Mapembelo wana kasi kubwa kidogo na bei zao pungufu kiasi kuliko giant mmoja hivi ambaye kila kampuni inashindana nae.
Hujasema ulipoteza mzigo gani kama ni loose cargo kupotea sio jambo geni. Kila kampuni unayoona inapoteza mizigo na kuchelewesha. Hakuna 100% kuwa kila kitu kitakuwa sawa ingawa huduma kwa wateja inabidi iwepo nzuri na fidia ya kupoteza au kuharibika iwepo.
Natumia Silent Ocean. Pia GNM wapo vizuri.
Tangazo gani, kaagize mzigo wako na hao utakuja kulia hapa baadae.Lipia tangazo mkuu
Unique cargo vipi mnawaonaje kwa ndege na Meli?Tunakoelekea silent ocean atakuja kubaki peke yake, hizi kampuni zingine bure kabisa bora gharama kuliko hizi hasara wanazosababishia watu aisee, toka July????? Hapana aisee