Vipo madukani, bei yake ipo hapo kwenye postUnacho cha 5a?
Ndani ninayo pixel 7proPIXEL 3AXL 130,000
PIXEL 3XL 140,000
PIXEL 3 130,000
PIXEL 3A 120,000
PIXEL 4 4G 300,000
PIXEL 4A 5G 290,000
PIXEL 4XL 180,000
PIXEL 5 400,000
PIXEL 5A 330,000
PIXEL 6 230,000
PIXEL 6A 300,000
PIXEL 6A 305,000
PIXEL 6PRO 240,000
PIXEL 7 320,000
PIXEL 7PRO 270,000
PIXEL 7PRO 230,000
Ni simu nzurii kwenye picha hata kua nayo Ila ukiipasua ndio issueHivi mpaka mtu ananunua simu ya google pixel anakuwa anafikiria nini?
Picha kali MkuuHivi mpaka mtu ananunua simu ya google pixel anakuwa anafikiria nini?
Ni kweli upande wa camera wako vizuriNi simu nzurii kwenye picha hata kua nayo Ila ukiipasua ndio issue
Ipo ndani nime ihifadhi niliambiwa kko kioo @230,000Ni kweli upande wa camera wako vizuri
Simu kama hizo kuna microsoft ni changmoto sana kupata spea zake
Kioo unanunua infinix,techno, vivo e.t.c na chenchi inabakia 😊Mi nimepaki 5a tangu mwaka jana ina picha zote kali bila vack up. Ni mateso
Sawa inategemea na kipaumbele cha mtu.Picha kali Mkuu
Bei ya smartphone mpya dukaniIpo ndani nime ihifadhi niliambiwa kko kioo @230,000
Na note mkuu....nina note 10 kioo nimeambiwa 450,000 ipo kabatin tuNi bei rahisi sana kucompare na S Series
Aisee kioo cha samsung s10 mkononi ni 500,000/= na kipya ni gharama kuliko simu yenyewe.PIXEL 3AXL 130,000
PIXEL 3XL 140,000
PIXEL 3 130,000
PIXEL 3A 120,000
PIXEL 4 4G 300,000
PIXEL 4A 5G 290,000
PIXEL 4XL 180,000
PIXEL 5 400,000
PIXEL 5A 330,000
PIXEL 6 230,000
PIXEL 6A 300,000
PIXEL 6A 305,000
PIXEL 6PRO 240,000
PIXEL 7 320,000
PIXEL 7PRO 270,000
PIXEL 7PRO 230,000
Madukani waweza kipata ila bei ndio hizo, kama vp nunua kioo kisha uza simu hata kwa laki 3 faida elf 10hivi kwa mwanza naweza pata kweli ipo 4a5G daah mwezi unaenda wa4 huu nimeitunza tu