TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Ww kweli muungwana, badala upige pesa umeamua kuwa upande wa wachepukaj wa lodge... Ubarikiwe mkuuWakuu,
Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja.
Sijui ukweli wake ni kiasi gani, lakini kuna mambo haya ya kuzingatia:
1. Usalama: Kama ni kweli, basi wafanyakazi wa lodge wanavunja sheria na faragha ya wateja.
2. Uchawi: Wengi wanasema hutumika kwa mambo ya kishirikina.
Ushauri wangu:
Wale mnaoenda lodges/hoteli, hakikisheni mnatupa kwenye dustbin iliyofungwa vizuri. Na kama unafanya kazi sehemu kama hizo, ripoti kwa mamlaka kama unaona vitendo vya aina hii.
Mnaonaje wadau? Kuna aliewahi kusikia au kusikia kuhusu hii kitu?
Kwa hiyo unaona wanachokifanya hao wanunua used condom ni sawa, unajua wanatumia kufanyia nini?Ww kweli muungwana, badala upige pesa umeamua kuwa upande wa wachepukaj wa lodge... Ubarikiwe mkuu
Sio kila anayeenda lodge ni mzinzi mkuu. Wengine huwa wanaenda na wake zao kubadilisha mazingira ya mechi ili kuongeza hamasa.Mbinu ni rahisi tu, kuacha uzinzi na uasherati.
Ingekuw rahis maambukiz yangekoma enzi za mwinyiMbinu ni rahisi tu, kuacha uzinzi na uasherati.
Kupandikiza ujauzito unahitaji sperms fresh, sio zilizokaa kwenye ndom masaa/siku kadhaa.Au wanapandikiza ujauzito kitaalamu
Hujali zinatumikaje?😂😂😂Hiyo lodge iko wapi, tuingie mkataba na wahudumu, 10k nachukuwa mimi 10k anachukuwa yeye. Kazi yangu inakuwa kuzichakata tu mbususu
Ndio maana nikasema ww ni muungwana...Kwa hiyo unaona wanachokifanya hao wanunua used condom ni sawa, unajua wanatumia kufanyia nini?
Hahahaha!Ingekuw rahis maambikiz yangekoma enzi za mwinyi
Hakika, hili nalo liangaliwe kwa umakini mkubwaKupandikiza ujauzito unahitaji sperms fresh, sio zilizokaa kwenye ndom masaa/siku kadhaa.
Haiwezekani mzee kutumia dusted condoms kwa shughuli za IVF.Au wanapandikiza ujauzito kitaalamu
Sio kila anayeenda lodge ni mzinzi mkuu. Wengine huwa wanaenda na wake zao kubadilisha mazingira ya mechi ili kuongeza hamasa.