TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

Au wanapandikiza ujauzito kitaalamu
Ujauzito eeeh...mamaeh...shauri zenu mamamaeh....mnafikir watu wanatembelea gari za bilioni kirahisi EEH.....endeleeni kuishi kizembe muwanufaishe matajiri
 
Ujauzito eeeh...mamaeh...shauri zenu mamamaeh....mnafikir watu wanatembelea gari za bilioni kirahisi EEH.....endeleeni kuishi kizembe muwanufaishe matajiri
Mkuu unaonekana upo makini sana šŸ˜‚
Najua hata kipind cha kuibiwa nyeti ulikuw makini sana šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
 
Sio ndomu tu, hata ukienda saluni kunyoa, Zile nywele zako zinazoanguka chini kuna wadau wanazinunua kwa ku-bid hela kubwa, Sijui zina kazi gani kichawi.
 
Wakuu,

Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja.

Sijui ukweli wake ni kiasi gani, lakini kuna mambo haya ya kuzingatia:
1. Usalama: Kama ni kweli, basi wafanyakazi wa lodge wanavunja sheria na faragha ya wateja.
2. Uchawi: Wengi wanasema hutumika kwa mambo ya kishirikina.

Ushauri wangu:
Wale mnaoenda lodges/hoteli, hakikisheni mnatupa kwenye dustbin iliyofungwa vizuri. Na kama unafanya kazi sehemu kama hizo, ripoti kwa mamlaka kama unaona vitendo vya aina hii.
Mnaonaje wadau? Kuna aliewahi kusikia au kusikia kuhusu hii kitu?
Fanya marejeo ya taari yako,anza na bei ya mtumiaji wa kawaida,na bei ya mnunuzi haramu kwa bei 20k kila moja ama ndiyo siri ya utajiri wa matajiri wa kator?ila leo nimesikia yupo tajiri mpya wa mbeya ama ni mwenye biyo biashara ya ndomuu?
 
Mkuu unaonekana upo makini sana šŸ˜‚
Najua hata kipind cha kuibiwa nyeti ulikuw makini sana šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
Mno, ulikua kabla hujanishika bega ulikua unakula side foot kick attack , mojawapo ya techniques za gojuryu.
 
Au wanapandikiza ujauzito kitaalamu

Mbegu za kiume ni chembe hai, haziwezi kuwa hai pasipo kuhifadhiwa katika mazingira rafiki...

Hizo zinazomwagwa kwenye condom hufa pengjne ndani ya dakika chache sababu ya mazingira ya na jotoridi la semens kubadilika ghafla...
 
Back
Top Bottom