TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

Wakuu,

Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja.

Sijui ukweli wake ni kiasi gani, lakini kuna mambo haya ya kuzingatia:
1. Usalama: Kama ni kweli, basi wafanyakazi wa lodge wanavunja sheria na faragha ya wateja.
2. Uchawi: Wengi wanasema hutumika kwa mambo ya kishirikina.

Ushauri wangu:
Wale mnaoenda lodges/hoteli, hakikisheni mnatupa kwenye dustbin iliyofungwa vizuri. Na kama unafanya kazi sehemu kama hizo, ripoti kwa mamlaka kama unaona vitendo vya aina hii.
Mnaonaje wadau? Kuna aliewahi kusikia au kusikia kuhusu hii kitu?
Haya yanaibuka wakati uchaguzi bado uko mbali au ni mahsusi kwa majaribio
 
Back
Top Bottom