TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

Kumbe inasemekana siku Moja Mimi nilishiriki tendo kwenye nyumba ya kulala wageni na mwanamke mmoja; tulitumia kondom. Sasa kumbe baada ya sisi kutupa ile condom asubuhi walichukua Ile ndomu na kuanza kufanya mambo yake (ni kama artificial insemination ilifanyika). 😭🄲
Na wewe ukawa unawaangalia tu?
 
Wakuu,

Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja.

Sijui ukweli wake ni kiasi gani, lakini kuna mambo haya ya kuzingatia:
1. Usalama: Kama ni kweli, basi wafanyakazi wa lodge wanavunja sheria na faragha ya wateja.
2. Uchawi: Wengi wanasema hutumika kwa mambo ya kishirikina.

Ushauri wangu:
Wale mnaoenda lodges/hoteli, hakikisheni mnatupa kwenye dustbin iliyofungwa vizuri. Na kama unafanya kazi sehemu kama hizo, ripoti kwa mamlaka kama unaona vitendo vya aina hii.
Mnaonaje wadau? Kuna aliewahi kusikia au kusikia kuhusu hii kitu?
Hizi Plastics kwa manufaa ya kimazinhira( environmental conservation) yafaa Ku recycle. Mimi sijaona shida hapo
 
20,000 kwa rubber iliyotumika? Hiyo ni fake news ya wazi kabisa, biashara gani hiyo yenye hasara hivi? Labda kama wanatengeneza gundi ya viatu.
 
20,000 kwa rubber iliyotumika? Hiyo ni fake news ya wazi kabisa, biashara gani hiyo yenye hasara hivi? Labda kama wanatengeneza gundi ya viatu.
Kwani wewe unajua wanazitumiaje?
Pia upatikanaji wake sio rahisi sana. Usikute 'bao' moja linawatengenezea hata 100,000.
 
Kwani wewe unajua wanazitumiaje?
Pia upatikanaji wake sio rahisi sana. Usikute 'bao' moja linawatengenezea hata 100,000.
Sayansi gani hii? DNA ya mtu kwenye mpira huwa inaharibika ndani ya masaa machache sana ikishakaa kwenye joto la dustbin. Hakuna maabara wala mchawi anayeweza kuitumia kisayansi baada ya hapo.

Stori za aina hii zilianza tangu miaka ya 90 huko Kenya na South Africa, na zote zilithibitika kuwa ni mass hysteria zisizo na uthibitisho.
 
Matumizi yake pekee ni kwenye maabara ya mzungu?
 
Back
Top Bottom