TAHADHARI: Madai ya Uuzaji wa Condom Zilizotumika Lodges

Au wanapandikiza ujauzito kitaalamu
Ujauzito eeeh...mamaeh...shauri zenu mamamaeh....mnafikir watu wanatembelea gari za bilioni kirahisi EEH.....endeleeni kuishi kizembe muwanufaishe matajiri
 
Ujauzito eeeh...mamaeh...shauri zenu mamamaeh....mnafikir watu wanatembelea gari za bilioni kirahisi EEH.....endeleeni kuishi kizembe muwanufaishe matajiri
Mkuu unaonekana upo makini sana 😂
Najua hata kipind cha kuibiwa nyeti ulikuw makini sana 😂 😂 😂
 
Sio ndomu tu, hata ukienda saluni kunyoa, Zile nywele zako zinazoanguka chini kuna wadau wanazinunua kwa ku-bid hela kubwa, Sijui zina kazi gani kichawi.
 
Fanya marejeo ya taari yako,anza na bei ya mtumiaji wa kawaida,na bei ya mnunuzi haramu kwa bei 20k kila moja ama ndiyo siri ya utajiri wa matajiri wa kator?ila leo nimesikia yupo tajiri mpya wa mbeya ama ni mwenye biyo biashara ya ndomuu?
 
Au wanapandikiza ujauzito kitaalamu

Mbegu za kiume ni chembe hai, haziwezi kuwa hai pasipo kuhifadhiwa katika mazingira rafiki...

Hizo zinazomwagwa kwenye condom hufa pengjne ndani ya dakika chache sababu ya mazingira ya na jotoridi la semens kubadilika ghafla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…