TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
-
- #61
Na wewe ukawa unawaangalia tu?Kumbe inasemekana siku Moja Mimi nilishiriki tendo kwenye nyumba ya kulala wageni na mwanamke mmoja; tulitumia kondom. Sasa kumbe baada ya sisi kutupa ile condom asubuhi walichukua Ile ndomu na kuanza kufanya mambo yake (ni kama artificial insemination ilifanyika). 😭🥲
Labda kaamia tu kurusha jiwe gizani. Kwani kaandika yuko mkoa gani?Alafu kuna watu wanaamini hizo story, Kwahiyo huyo muhudumu kaleta hiyo story ili azikose hizo 20k?
'Coz REGGAE is real!'NOBODY CAN STOP REGGAE!?
Nikawa nawaangalia tu!Na wewe ukawa unawaangalia tu?
Hakuna kupumzika mkuu!Maisha ya mtu mweusi yana pilika nyingi sana.
Ungekomaa nao mkuu. Huo ni uzembeNikawa nawaangalia tu!
Hizi Plastics kwa manufaa ya kimazinhira( environmental conservation) yafaa Ku recycle. Mimi sijaona shida hapoWakuu,
Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja.
Sijui ukweli wake ni kiasi gani, lakini kuna mambo haya ya kuzingatia:
1. Usalama: Kama ni kweli, basi wafanyakazi wa lodge wanavunja sheria na faragha ya wateja.
2. Uchawi: Wengi wanasema hutumika kwa mambo ya kishirikina.
Ushauri wangu:
Wale mnaoenda lodges/hoteli, hakikisheni mnatupa kwenye dustbin iliyofungwa vizuri. Na kama unafanya kazi sehemu kama hizo, ripoti kwa mamlaka kama unaona vitendo vya aina hii.
Mnaonaje wadau? Kuna aliewahi kusikia au kusikia kuhusu hii kitu?
Je, wanazitumia kufanyia nini?Shahawa zako mwenyewe, umeamua kuzitoa kwa hiyari yako, umemaliza shughuli, acha watu wazitumie! Maana hukuwa na kazi nazo! Wao wana kazi nazo!
Wanazi-recycle kwa kuzitumiaje mkuu?Hizi Plastics kwa manufaa ya kimazinhira( environmental conservation) yafaa Ku recycle. Mimi sijaona shida hapo
Dah, yaliyopita si ndwele mkuu...Ungekomaa nao mkuu. Huo ni uzembe
Sio kwamba tu wazinzi watakua makini zaidi?Kama haya madai ni ya kweli basi dhambi ya uzinzi inaenda kuisha
Kwani wewe unajua wanazitumiaje?20,000 kwa rubber iliyotumika? Hiyo ni fake news ya wazi kabisa, biashara gani hiyo yenye hasara hivi? Labda kama wanatengeneza gundi ya viatu.
Sayansi gani hii? DNA ya mtu kwenye mpira huwa inaharibika ndani ya masaa machache sana ikishakaa kwenye joto la dustbin. Hakuna maabara wala mchawi anayeweza kuitumia kisayansi baada ya hapo.Kwani wewe unajua wanazitumiaje?
Pia upatikanaji wake sio rahisi sana. Usikute 'bao' moja linawatengenezea hata 100,000.
Matumizi yake pekee ni kwenye maabara ya mzungu?Sayansi gani hii? DNA ya mtu kwenye mpira huwa inaharibika ndani ya masaa machache sana ikishakaa kwenye joto la dustbin. Hakuna maabara wala mchawi anayeweza kuitumia kisayansi baada ya hapo.
Stori za aina hii zilianza tangu miaka ya 90 huko Kenya na South Africa, na zote zilithibitika kuwa ni mass hysteria zisizo na uthibitisho.