Mkuu hili ni tatizo. Watu wanashindwa kujua hata uchemshe vipi vijidudu vitakufa lkn Chemicals hazifi.
Mercury,lead, na heavy metals ndio zimevyonzwa kwenye hiyo michicha na spinach.
Madhara ya heavy metals
Inarreact na ions nyingi mwilini ambazo ni muhimu kwa uasfilishaji Wa taarifa.
Zinapopungua unaugua Ugonjwa Wa akili unaitwa MINAMATA.Japan wanaojua hbr yake.
Nini kifanyike
NEC na waziri Wa mazingira Mpina, wapige marufuku shuguli zote za kuliko bondeni maana hakuna jinsi lzm viwanda vitoe waste, na vinyesi havina effects kama heavy metals japo sio salama pia.
Pili ruvu hapo na kule mto wami, au mito mikubwa ya krb na dar es salaam, itengwe maeneo maalumu VEGETABLEs MASS PRODUCTION HUB. Hizi zililishe jiji.
Wakishindwa hili maana sioni nia mwenyewe wamewekeza zaidi kwenye viwanda. Hata kama tumepanga anzisha home based simple garden. Badala ya kupanda maua panda mchicha,vitunguu hata kabichi. Kuna jamaa Kenya analisha mtaa mzima kwa kupika spinach kwenye magunia huani kwake.