Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote uroho tu.Kwa dar hali ni mbaya sana ya chakula sio mboga za majani tu hata nyama kwa bahati nimeishi sana dar nikawa nakula nyama ukweli nikila minofu mitatu naona mwili umejaa na kitambi cha ghafla sasa majuzi nikahamia mkoani kikazi tena kijijini kabisa ndani huku nikashangaa nimenunua nyama nusu na kuimaliza mwenyewe bila shida hakuna kitambi wala mwili kuchoka na nyama tamu kweli ndio ikabidi kutafuta ukweli nakundua wale ng'ombe wa dar hunenepeshwa kwa madawa kabla ya kuuzwa dar nikachoka kabisa
HahahaHuna lolote uroho tu.
Dah YEHODAYA sometime una point sana mwenyezi Mungu akubariki! kwa kweli mboga za majani ni sheeeeda na kuna kajiutafiti kalionyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wananchi wa DSM kupata maradhi hasa saratani ya damu kwa kuwa mboga za majani ziliwazo zina kemikali nyingi ambazo ni mbaya kwa afya ya binadamu hii ni kwa sababu maji yanayotumika na ardhi tayari zina chemikali ambazo si salama kwa afya ya binadamu. Kwa kweli serikali isipozingatia hili ijiandae kupoteza rasilimali kadhaa kwa ajili ya kudeal na hili janga.
Tatizo la waandishi wetu huangalia bahasha tu.Kama akienda mahali atapewa hela ndio anaenda.Hivi hivi haendi.Waandishi wetu wengi ni desktop publisher chanzo cha habari zao nihivi tanzania waandishi wa namna hii ha tuna kila siku ni siasa wema diamond kiba basii hawajaona haya
Watu watajuaje kwamba hizo ni mboga salama? ikumbukwe kwamba walaji wengi wa mboga hawaendi shambani wanapitishiwa majumbani, mimi nadhani ni wenye mamlaka ndiyo wanatakiwa kupiga marufuku kilimo cha mboga maeneo hatarishi kama ambavyo wanahangaika na watengenezaji wa bidhaa za viwandani, yaani mmeniharibia siku yangu maana nimetoka kuzozana na mama Ntilie aniongeze mboga za majani kwenye ugali wangu.Ni kweli issue ya mboga hapa Dar ni changamoto kubwa sana. Mimi ninadhani kuna fursa ya biashara kwa anaeweza kulima mboga salama, kama ataweza kushawishi walaji
Kweli kabisa. Kwa anayeweza kulima mboga za majani kwenye backyard yake ni nzuri zaidi otherwise za masokoni zina utata. Kuna watu huwa hawali mboga za majani unless wanajua imelimwa/imetoka wapi ili kujiridhisha.Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani
Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo ya Tandale na kwingineko
maji yanayopita kwenye mabonde haya ni machafu, yenye kemikali toka viwandani, yenye vinyesi toka vyooni nk ndio hayo hayo yanayonyweshea mbogamboga hizi tangu kuchipua hadi kukomaa.
Kwa vyovyote vile, maji haya yakipimwa ni wazi yatakutwa na kiwango kikubwa cha sumu mbalimbali zinazosababisha magonjwa kansa na ngozi.
Uchafu tunaoutupa kwenye mito ipitayo kwenye haya mabonde kama betri za simu na magari material za friji mbovu, computer mbovu nk nk vyote hivi vimebeba kemikali zenye sumu kali.
Tusipochukua tahadhari tutaishia kuongeza vyumba pale Ocean road kwenye ile hospital ya kansa
Hizi mada huwa hazipatagi nafasi jukwaani humu japo ni muhimu kuliko, lakini hazipatagi wachangiaji nashangaa kama mwamko huu umeanza kuonekana tutaokoa taifa!Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani
Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo ya Tandale na kwingineko
maji yanayopita kwenye mabonde haya ni machafu, yenye kemikali toka viwandani, yenye vinyesi toka vyooni nk ndio hayo hayo yanayonyweshea mbogamboga hizi tangu kuchipua hadi kukomaa.
Kwa vyovyote vile, maji haya yakipimwa ni wazi yatakutwa na kiwango kikubwa cha sumu mbalimbali zinazosababisha magonjwa kansa na ngozi.
Uchafu tunaoutupa kwenye mito ipitayo kwenye haya mabonde kama betri za simu na magari material za friji mbovu, computer mbovu nk nk vyote hivi vimebeba kemikali zenye sumu kali.
Tusipochukua tahadhari tutaishia kuongeza vyumba pale Ocean road kwenye ile hospital ya kansa
Ukiendelea hivi ukaachana na siasa utakuwa rafiki yangu mkubwa kule unapotea YEHODAYATatizo la waandishi wetu huangalia bahasha tu.Kama akienda mahali atapewa hela ndio anaenda.Hivi hivi haendi.Waandishi wetu wengi ni desktop publisher chanzo cha habari zao ni
1.Jamii forums na mitandao ya kijamii kama ya akina Issa MICHUZI NK
2.Internet
3.TV za nje
Wengi si wabunifu na watafuta habari mpya maeneo mbali mbali !!!
Ukisoma habari tu humu jamii forums pekee waweza jua kesho vichwa vya habari vya magazeti vitaandika nini.Kuna habari humu Jamii forums waweza jua hii kesho itakuwa headline kwenye gazeti.
Mfano Magufuli leo kaagana na Odinga kesho utaiona kwenye magazeti au kikao cha baraza la madiwani Tanga chavunjika.Kesho habari kubwa.!
Nadhani wengi wamefundishwa kuandika habari si kutafuta habari
ng'ombe nyingi zinazouzwa na wamasai ni wagonjwa, wafugaji hawajui kusoma lakini wanawatibu wenyewe bila msaada wa madaktari wa wanyama, upande huu pia tunapata sumu mbaya.
Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani
Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo ya Tandale na kwingineko
maji yanayopita kwenye mabonde haya ni machafu, yenye kemikali toka viwandani, yenye vinyesi toka vyooni nk ndio hayo hayo yanayonyweshea mbogamboga hizi tangu kuchipua hadi kukomaa.
Kwa vyovyote vile, maji haya yakipimwa ni wazi yatakutwa na kiwango kikubwa cha sumu mbalimbali zinazosababisha magonjwa kansa na ngozi.
Uchafu tunaoutupa kwenye mito ipitayo kwenye haya mabonde kama betri za simu na magari material za friji mbovu, computer mbovu nk nk vyote hivi vimebeba kemikali zenye sumu kali.
Tusipochukua tahadhari tutaishia kuongeza vyumba pale Ocean road kwenye ile hospital ya kansa
Wacha wee...! Naona wenye biashara zao wamecharukaLete Idadi ya vifo vilivyotokea au nyamaza ewe mchochezi.... sio tumekula na tumekulia Dar hii hii sumu sumu hewa unayovuta wadhani ni salama? Mimaji ya visima,Kuku wa Kizungu,Samaki wa Baharini,ngono zembe ni zaidi ya Sumu kufa kufa tu kupo enjoy life
Hapa muhusika mkuu ni January Makamba, anatakiwa atembelee viwanda vinyotiririsha sumu na kuviadhibu. Labda bado anaona maruweruwe kwa kuwa alichotegemea kimekuwa juuchini chinijuu. Katika Wizara ambazo zina shughuli nyingi sana, lakini Waziri bado anaganzi ya kukosa madaraka.Kwa kweli hali hii ni balaa. Wizara na wanaharakati wanaohusika na mazingira wanatakiwa kulivalia njuga suala la kunajisi vianzio vya maji jijini Dar.
Nandhani huelewi ukuaji wa mazao....... Kasome Biology vizuri utafahamu kama upo safe au lah sio kuleta blah blahWacha wee...! Naona wenye biashara zao wamecharuka
Kabla sijaileta hii mada hapa nilijiridhisha kwa kusoma hiyo biology unayojivunia wewe ambayo ni segment ndogo sana kwenye food poisoning, usiangalie biology tuu ni factor ndogo sana kwenye ukuaji wa mimea na wanyamaNandhani huelewi ukuaji wa mazao....... Kasome Biology vizuri utafahamu kama upo safe au lah sio kuleta blah blah
laiti kama ungekuwa umeshafanya ufugaji au ukulima japo kidogo ungemuelewa mtoa mada na ingekuwa nyongeza kwa hiyo biology!Nandhani huelewi ukuaji wa mazao....... Kasome Biology vizuri utafahamu kama upo safe au lah sio kuleta blah blah
Huko kazini na mashuleni (watoto) unakwepaje hizi mboga?Waweza nunua mbegu na kufanya kabustan kadogo na kutumia mbolea ya kuku/ng'ombe + kumwagilia!!
Sisi hatununui mboga hata!!
Mwaka wa tano huu!!