Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani
Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo ya Tandale na kwingineko
maji yanayopita kwenye mabonde haya ni machafu, yenye kemikali toka viwandani, yenye vinyesi toka vyooni nk ndio hayo hayo yanayonyweshea mbogamboga hizi tangu kuchipua hadi kukomaa.
Kwa vyovyote vile, maji haya yakipimwa ni wazi yatakutwa na kiwango kikubwa cha sumu mbalimbali zinazosababisha magonjwa kansa na ngozi.
Uchafu tunaoutupa kwenye mito ipitayo kwenye haya mabonde kama betri za simu na magari material za friji mbovu, computer mbovu nk nk vyote hivi vimebeba kemikali zenye sumu kali.
Tusipochukua tahadhari tutaishia kuongeza vyumba pale Ocean road kwenye ile hospital ya kansa
Kwahiyo unataka kusema hizi mboga ninazonyweshewa na maji yenye kemikali ni salama?mshana jr survival ya mmea inaendeshwa na processes za kunyonya chakula inachohitaji kutoka katika udongo, kinapokosekana chakula muhimu mmea haunawiri. Na chakula kikizidi mmea pia unapata madhara. Same kwa binadamu, ukila Starch nyingi ina madhara nk.
Binadamu anavuta hewa ya oxygen inayopatikana angani na ni basis ya survival yake. lakini angani hewa ya oxygen si nyingi kama ile ya hydrogen na pia kuna nitrogen nk. lakini bado mwili unachukua oxygen tu kwa matumizi yake.
Same to mimea
Kwahiyo unataka kusema hizi mboga ninazonyweshewa na maji yenye kemikali ni salama?
Facts zangu zimejikita kwenye usalama kiafya je hizo mboga ni salama kiasi gani? Bila kujali zinatumia waste ya aina gani usalama waje kiafya ni asilimia ngapi?Ktoka kinyesi yatakuwa na Nitrate nyingi. Kutoka dampos inategemea composition ya hizo wastes. So it is possible zina nitrate nyingi lakini haina maana kuwa zinaweza kuwa very dangerous kwa kuwa mwili una namna ya kudhibiti sumu au ziada. Ukishindwa you are in a problem! Like shida ya figo au ini nk.
So I am not underestimating you facts!
Facts zangu zimejikita kwenye usalama kiafya je hizo mboga ni salama kiasi gani? Bila kujali zinatumia waste ya aina gani usalama waje kiafya ni asilimia ngapi?
Hizi link ni za wahindi hebu pitia ile study aliyoifanya Dr. Shemdoe wa chuo kikuu cha DsmMkuu, this is very technical na ni vigumu kujua directly unless chemical analysis imefanyika.
Pitia link hizi utapata facts zote:
Field accumulation risks of heavy metals in soil and vegetable crop irrigated with sewage water in western region of Saudi Arabia
Open dumping of municipal solid waste and its hazardous impacts on soil and vegetation diversity at waste dumping sites of Islamabad city
nalo neno.Mh.Kigwagwala....achana na press fanya kazi.Kwa muda mfupi tu tangu uwe Waziri tumekuona more than enough kwenye media na to make worse mara zote una angalia camera....usifanye hivyo.Mbogmboga zitatuuwa achana na ma gate ya wizarani.
hakuna madhara kwa binadamu kula chakula kilichonyeshewa kwa majitaka. Manispaa zote makini husafisha haya maji na kuyaachia kwenye mifereji yakatumike kumwagilia mazao. Kasheshe ni haya yanayotoka viwandani yenye kemikali.sio Dar pekee, Dodoma mboga za majani zinatoka sehemu moja inaitwa swaswa ambapo sewage system za mji mzima zimeelekezwa kule hivyo kuweka bwawa ambalo linatumika kwa kilimo. ukiona mazao yanayotoka huko kama ni mboga za majani zinakuwa zimenawiri kweli kweli, kuna kipindi walikuanza kuongelea hili suala sina uhakika kama walizuia au la ila hali ni mbaya maeneo mengi. tujenge ule utaratibu wa zamani wa kujilimia mboga zetu nyumbani.
mbona ameeleweka tu na ametupa maarifa kwamba maji ya kinyesi na mkojo hayana madhara? Ungechukua maarifa mapya mengine ukamwachia. Mbona hata wewe umetumia maneno kama factor, food poisoning, segment.....kwani haya ni ya kiswahili sanifu? Sentensi ya kwanza kwamba tatizo ni shule ndo imeleta mushkeli. Vinginevyo maelezo yake ni sahihi.Acha papara hariri jibu lako kwenye kiswahili sanifu, andika taratibu na kwa kituo utaeleweka...hapa hatupingani bali tunapeana elimu na maarifa
Ukiweza kufikisha soko la mabibo Ilala na buguruni utashangaa ulikuwa wapi siku zote na pia kwenye mahoteli makubwaMwenzenu nina bustani yangu nzuri na mboga zangu zote ni organic lakini wateja sipati wa kutosha. Mbezi beach kama unahitaji ni PM tafadhari. Mchicha, majani ya maboga, majani ya viazi na majani ya kunde kwa sasa. Pilipili zipo pia. Situmii mbolea ya dukani natumia mbolea ya sungura wangu ambao wanatumia chakula changu na lusina.
tuoteshee wapi nyumba za kupanga hata uchochoro wa kuingia ndani shida,,loohWaweza nunua mbegu na kufanya kabustan kadogo na kutumia mbolea ya kuku/ng'ombe + kumwagilia!!
Sisi hatununui mboga hata!!
Mwaka wa tano huu!!
Hicho kidogo kilichopo anza nacho kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha mimi naweza kuwa mteja wako wa kwanzaTatizo sina bustani kubwa ya kutosheleza watu wa soko kubwa. Bustani yangu si kubwa sana ila ni mwaka mzima nakuwa na mboga. Bamia mpaka zilikomalia shambani sababu nilitegemea watu wanaokuja kwangu wanaweza kunitaftia soko. Pilipili nagawa kila siku yaani we acha tu. Ila saa nyingine I pretend they are my flowers. ila sungura wangu wanafaidi anyway.
ahahaha na mboga haitakiwi kuchemshwa kiviiile, soooooooooo .......hhahaha ushabugia kinyesi sana bro hahahahanimeupenda uchambuzi wako kwa njia hii JF is very construstive