hayo maji yatokayo serengeti hamlewi kweli??
utakuta mtu anakula mchicha afu analewa.
wako busy na vipodoziKuna mboga nyingine zinatoka kando ya mto kimara mbezi. Pengine hizo zinaweza kuwa salama kidogo. Tatizo ni kuwa sijasikia chombo husika kikifanyia uchunguzi mboga zinazouzwa katika masoko ya Dsm.
Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani
Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya mto msimbazi ,Mandela road bonde lililoko kituo cha garage ,jangwani kigogo sambusa na maeneo ya Tandale na kwingineko
maji yanayopita kwenye mabonde haya ni machafu ,yenye kemikali toka viwandani ,yenye vinyesi toka vyooni nk ndio hayo hayo yanayonyweshea mbogamboga hizi tangu kuchipua hadi kukomaa
kwa vyovyote vile maji haya yakipimwa ni wazi yatakutwa na kiwango kikubwa cha sumu mbali mbali zinazosababisha magonjwa kansa na ngozi
uchafu tunaoutupa kwenye mito ipitayo kwenye haya mabonde kama betri za z simu na magari material za friji mbovu computer mbovu nk nk vyote hivi vimebeba kemikali zenye sumu kali
Tusipochukua tahadhari tutaishia kuongeza vyumba pale Ocean road kwenye ile hospital ya kansa
Waziri wa afya waziri wa mazingira TFDA na TBS wanapaswa kupita hukuMkuu hili ni tatizo. Watu wanashindwa kujua hata uchemshe vipi vijidudu vitakufa lkn Chemicals hazifi.
Mercury,lead, na heavy metals ndio zimevyonzwa kwenye hiyo michicha na spinach.
Madhara ya heavy metals
Inarreact na ions nyingi mwilini ambazo ni muhimu kwa uasfilishaji Wa taarifa.
Zinapopungua unaugua Ugonjwa Wa akili unaitwa MINAMATA.Japan wanaojua hbr yake.
Nini kifanyike
NEC na waziri Wa mazingira Mpina, wapige marufuku shuguli zote za kuliko bondeni maana hakuna jinsi lzm viwanda vitoe waste, na vinyesi havina effects kama heavy metals japo sio salama pia.
Pili ruvu hapo na kule mto wami, au mito mikubwa ya krb na dar es salaam, itengwe maeneo maalumu VEGETABLEs MASS PRODUCTION HUB. Hizi zililishe jiji.
Wakishindwa hili maana sioni nia mwenyewe wamewekeza zaidi kwenye viwanda. Hata kama tumepanga anzisha home based simple garden. Badala ya kupanda maua panda mchicha,vitunguu hata kabichi. Kuna jamaa Kenya analisha mtaa mzima kwa kupika spinach kwenye magunia huani kwake.
Kweli kabisa unakuta watu wana ishi sehemu kubwa halafu kapanda maua kubao ambayo kiukweli yana mandhari nzuri lakini hayana faida hata kimvuli hakina,Pandeni mboga mboga muache kununua
Kama huna nafasi panda kwenye makopo au madumu ya lita 20 unayakata kiurefu toboa kidogo kuvujisha maji panda mboga
Mh.Kigwagwala....achana na press fanya kazi.Kwa muda mfupi tu tangu uwe Waziri tumekuona more than enough kwenye media na to make worse mara zote una angalia camera....usifanye hivyo.Mbogmboga zitatuuwa achana na ma gate ya wizarani.
mimi kabla ya kununua huwa nawauliza je mboga hizi ni za bonde gani,wakiniambia msimbazi nawaambia ninazoNimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani