Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii ni tahadhari yangu kwa Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku watu watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.
Wenzako hawa hawana ustaarabu na hata shukurani hawana. Umekuwa muungwana sana katika kuongoza harakati za mageuzi, ila wenzako hawathamini huo ustaarabu bali wao wanachojali ni kulinda madaraka hata kwa gharama za maisha ya watu..
Leo umefanya ustaarabu kumuokoa Masauni, ila kesho ni hawa hawa Mboga mboga wataleta propaganda za kuwa wewe ni CCM ndio maana ulimlinda Masauni ili tu kukudhoofisha wewe na CHADEMA kwa ujumla.
Mbowe, badilika, hawa watu ni hatari sana na hawana ustaarabu wale punje ya aibu linapokuja swala la kulinda madaraka yao.
Soma Pia: Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
Alichoongea Lema, ndio ulipaswa uongee wewe kama mwenyekiti, na huenda hata Lema hakuridhika na hotuba yako ila tu amekuheshimu ila usidhani watu wataendelea kukuvumilia wakati vifuani wana machungu.
Soma alama za nyakati na ubadilike.