Tahadhari: Mbowe usipobadilika, kuna siku utazomewa kama Masauni

Watu kama wewe hamfai katika kutafuta haki.
Wewe ulikuwepo pale?

Mimi nilikuwepo, ila tunaenda kwa akili na hekima. Hatuendi kama kondoo au nyumbu. Sasa unasemaje sifai..?

Mimi sio kama wewe una protest kupitia keyboard ya simu yako ukiwa Nangurukuru...!!
 
Kila siku tunaongea hapa kuwa Mbowe ameshapoteza dira yeye binafsi kama kiongozi, na udhaifu wake huu unaanza kudhirika kwa maswahib makubwa na madhara wanayoyapa wanachadema wakiwa chini yake.. kama mchungaji, Mbowe ameshindwa kulinda kundi na sasa dubu na mbwa mwitu wanapenya ndani mchana kweupeee kushambulia kondoo wasio na hatia. Mbowe ana shidana anatakiwa kukubali kusaidiwa
 
Wewe ulikuwepo pale?

Mimi nilikuwepo, ila tunaenda kwa akili na hekima. Hatuendi kama kondoo au nyumbu. Sasa unasemaje sifai..?

Mimi sio kama wewe una protest kupitia keyboard ya simu yako ukiwa Nangurukuru...!!
Sasa ulitaka niwepo wakati sipo? Wewe uliyekuwepo na Mbowe wako mkaamua kuwa makondoo, hatujapenda. Hii sio serikali ya kukaa na kuongea kwa staha, hekima wala busara tena.
 
Kusema kweli mbowe anaboa ...
Leo hapa tanga kidogo nimzabue huuo mzanzibar
 
Hii ni tahadhari yangu kwa Mhe. Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku wata watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.

Wenzako hawa hawana ustaarabu na hata shukurani hawana. Umekuwa muungwana sana katika kuongoza harakati za mageuzi, ila wenzako hawathamini huo ustaarabu bali wao wanachojali ni kulinda madaraka hata kwa gharama za maisha ya watu..

Leo umefanya ustaarabu kumuokoa Masauni, ila kesho ni hawa hawa Mboga mboga wataleta propaganda za kuwa wewe ni CCM ndio maana ulimlinda Masauni ili tu kukudhoofisha wewe na CHADEMA kwa ujumla.

Mbowe, badilika, hawa watu ni hatari sana na hawana ustaarabu wale punje ya aibu linapokuja swala la kulinda madaraka yao.

Alichoongea Lema, ndio ulipaswa uongee wewe kama mwenyekiti, na huenda hata Lema hakuridhika na hotuba yako ila tu amekuheshimu ila usidhani watu wataendelea kukuvumilia wakati vifuani wana machungu.

Soma alama za nyakati na ubadilike.
freeman MBOWE ni mamluki, Mimi Nina imani na Tundu Lissu tu, sio huyu NJEMBA
 
Sasa ulitaka niwepo wakati sipo?
Halafu wewe unaambiwa tu na mwingine na kisha kuhukumu kuwa kwanini tusingevurugana pale?

Are you really in your right reasoning senses...?

By the way, acha kubweka tu kama mbwa Koko hapa. Hata wewe unaweza kuwa kiongozi wa protest...

Huko uliko, jikusanyeni na wenzako kisha nendeni kwenye ofisi za umma zozote mf. Kwa mkuu wa wilaya au kituo cha polisi mlianzishe sisi tutawafuata nyuma...!!

Si lazima vurugu ziongozwe na Freeman Mbowe. Hata wewe ERoni unaweza kuwa kiongozi kama Gen-Z wa Kenya ambao hawakuongozwa na Raila Odinga Odinga...
 
Hivi unaelewa platform mliyoilata leo ingesaidia kiasi gani kuonyesha dunia namna ambavyo hatupo huru?
 
Hii ni tahadhari yangu kwa Mhe. Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku wata watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.

Wenzako hawa hawana ustaarabu na hata shukurani hawana. Umekuwa muungwana sana katika kuongoza harakati za mageuzi, ila wenzako hawathamini huo ustaarabu bali wao wanachojali ni kulinda madaraka hata kwa gharama za maisha ya watu..

Leo umefanya ustaarabu kumuokoa Masauni, ila kesho ni hawa hawa Mboga mboga wataleta propaganda za kuwa wewe ni CCM ndio maana ulimlinda Masauni ili tu kukudhoofisha wewe na CHADEMA kwa ujumla.

Mbowe, badilika, hawa watu ni hatari sana na hawana ustaarabu wale punje ya aibu linapokuja swala la kulinda madaraka yao.

Alichoongea Lema, ndio ulipaswa uongee wewe kama mwenyekiti, na huenda hata Lema hakuridhika na hotuba yako ila tu amekuheshimu ila usidhani watu wataendelea kukuvumilia wakati vifuani wana machungu.

Soma alama za nyakati na ubadilike.
Hili andiko lako ninastahiri jibu la kina kama lilivyo lenyewe.

Hapana, mimi nasita kidogo kumlaumu Mbowe. Nakazia "kidogo".

Mbowe huyo huyo; pengine zaidi ya viongozi wengine wote wa upinzani isipokuwa Lissu alisha pitia kwenye wakati mgumu sana chini ya hao hao kijani. Zile risasi zilizo muua Aquillina, unazikumbuka, na mashtaka ya ajabu yaliyo ambatana na tukio hilo.
Kuwekwa ndani, kwa uonevu tu; kwamba ni kiongozi wa Ugaidi; hili nalo kamwe huwezi kulinganisha na mateso mengine waliyo pata hawa viongozi.

NDIYO: Mbowe inalazimu abadilike; lakini siyo kubadilika kama huku tunakomtaka akufanye.

Aina ya mabadiliko tunayo mchochea ayakubali, ndio mtego ule ule unaowekwa na hawa washenzi wa CCM ili wapate njia ya kuiondoa njiani CHADEMA, ili waweze kuendelea na madaraka haya ya kuwaumiza waTanzania.

Sasa ninakusihi; kama unataka kweli Mbowe abadilike, kama hata mimi ninavyo taka abadilike, ni juu yetu kutoa ushauri mahsusi wa mabadiliko hayo tunayo yataka. Mabadiliko yasiyo leta visingizio vya kutuondolea hata matumaini haya kidogo yaliyopo ya kuiondoa CCM madarakani.
Huo ndio mjadala ninao penda tuwe nao hapa.

Sijasoma Lema kasema nini, kwa hiyo inawezekana nisinge andika haya kama maelezo ya Lema yana msingi wa kuwa na mabadiliko chanya.
 
Ndo maana hawa CCM hawamuogopi kabisa mbowe lakini ukiwatajia Tundu lisu wengine huwa wanajinyea...mbowe simuamini kabisaa tangu auwawe Ben sas 8 na yeye kukaa kimya. ni bora chadema isishike madaraka lakini wasimame jino kwa jino kutetea haki.
 
Hivi unaelewa platform mliyoilata leo ingesaidia kiasi gani kuonyesha dunia namna ambavyo hatupo huru?
Imeonyeshwa na kama ni dunia kuona imeona...

Ulitaka iweje zaidi?

Nimekuambiwa hakuna mahali popote duniani ambapo mapinduzi ktk nchi yameletwa au kuongozwa na vyama vya siasa....!

Hekima na ufahamu wa kuelewa mambo haya mnaificha wapi nyie wasomi wa leo...?

Nimekupa ushauri mzuri sana kuwa, hata wewe kwa ujasiri na uchungu ulio nao unaweza ku - organize na kuanzisha movement ya kuing'oa serikali iliyo madarakani huko huko uliko kama GEN-Z wa Kenya....

Chama cha siasa kama CHADEMA kipo guided na sheria, kanuni and on top of that katiba ya nchi. Kosa dogo tu linapelekea maamuzi yasiyotumia hekima, chama kinaweza kufutwa mara moja kwenye orodha ya vyama vya siasa na kukosa platform ya kufanyia siasa...

Huo ndio mtego ambao CCM muda wote wameutega kwa CHADEMA. Freeman Mbowe na wenzake wana akili, wanajua na wanayo hekima ya kuliona hili. Siyo nyie kina ERoni au Salary Slip na wengine...

Mpaka CHADEMA kufika hapo ilipo na kuwa chama kikubwa kupambana na CCM, ujue busara na hekima pamoja na misimamo thabiti ya viongozi wanaokiongoza chama hiki ndizo zimekifikisha hapo kilipo otherwise wangekuwa na emotions na egos kama zenu kina ERoni, CHADEMA ingeshakuwa kama CUF au NCCR au TLP long time ago...

Remember this, that, always there's a right time to strike to the enemy...
 
Hii ni tahadhari yangu kwa Mhe. Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku wata watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.

Wenzako hawa hawana ustaarabu na hata shukurani hawana. Umekuwa muungwana sana katika kuongoza harakati za mageuzi, ila wenzako hawathamini huo ustaarabu bali wao wanachojali ni kulinda madaraka hata kwa gharama za maisha ya watu..

Leo umefanya ustaarabu kumuokoa Masauni, ila kesho ni hawa hawa Mboga mboga wataleta propaganda za kuwa wewe ni CCM ndio maana ulimlinda Masauni ili tu kukudhoofisha wewe na CHADEMA kwa ujumla.

Mbowe, badilika, hawa watu ni hatari sana na hawana ustaarabu wale punje ya aibu linapokuja swala la kulinda madaraka yao.

Alichoongea Lema, ndio ulipaswa uongee wewe kama mwenyekiti, na huenda hata Lema hakuridhika na hotuba yako ila tu amekuheshimu ila usidhani watu wataendelea kukuvumilia wakati vifuani wana machungu.

Soma alama za nyakati na ubadilike.
Mbowe ameongea vizuri. Yeye ni "Statesman". Lakini inawezekana Lissu na Heche hawakuhudhuria kwa sababu huo u "statesman" wa Mbowe wasingeuweza.

Amandla..
 
Mbowe huyu chama kimemshinda, anashindwa kulinda Wanachama wake hata kwa kauli tu..

uenyekiti apewe Lema, Heche au Lissu, Mbowe hizi busara zake hizi sio relevant kwa kipindi hiki.
Hana busara yoyote anakumbuka fadhila ana fedha alizopewa
 
Mbowe huyu chama kimemshinda, anashindwa kulinda Wanachama wake hata kwa kauli tu..

uenyekiti apewe Lema, Heche au Lissu, Mbowe hizi busara zake hizi sio relevant kwa kipindi hiki.
Kwa mtu makini aliyemsikiliza Mbowe alijua ameumia na amekasirika sana. Hamna wakati unaohitaji busara za mtu kama Mbowe kama wakati huu.

Amandla...
 
Ndo maana hawa CCM hawamuogopi kabisa mbowe lakini ukiwatajia Tundu lisu wengine huwa wanajinyea...mbowe simuamini kabisaa tangu auwawe Ben sas 8 na yeye kukaa kimya. ni bora chadema isishike madaraka lakini wasimame jino kwa jino kutetea haki.
Mbowe ndo maana hataki kukiachia chama ingekua Lissu angekemea kwa Lugha kali sana
 
Mbowe ni kiongozi , watu hawana budi kutambua hili, alafu kuna mambo yanahitaji wisdom na sio emotion katika kuyatatua. Tukio lile ni mtego mkubwa Sana Kwa Mbowe angeshindwa ingeonesha hafai kuwa kiongozi wa chama kikubwa kama chadema.
 
Back
Top Bottom