The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Hao nyumbu ndo hao kipindi kile Malwai wanaleta chochochoko Kwenye ziwa Nyasa, Wanashadadia tu tuwapige.Mbowe ni kiongozi , watu hawana budi kutambua hili, alafu kuna mambo yanahitaji wisdom na sio emotion katika kuyatatua. Tukio lile ni mtego mkubwa Sana Kwa Mbowe angeshindwa ingeonesha hafai kuwa kiongozi wa chama kikubwa kama chadema.
Uongozi ni busara na kubalance mambo, Nje ya hapo ni uanaharakati