The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Absolutely, huo ndio uongozi...Mimi niko na Mwenyekiti Mbowe leo kaonyesha UONGOZI tukiendekeza Emotions na Ego hakuna tukachokijenga sana tutabomoa.
Kumbukeni👉 NO HATE NO FEAR!! MWAMBA TUVUSHE🫡✌️✌️✌️
Hawa watu hawajui kuwa CHADEMA ni chama cha siasa kinachoongozwa na sheria na kanuni za vyama vya siasa na zaidi sana katiba ya nchi...
Kwa nchi zetu hizi za ki - Afrika, watawala hutega vijimitego vidogodogo tu kwa vyama imara vinavyoi - challenge serikali na chama kilichopo madarakani Ili vikiingia mkenge tu, wapate uhalali wa kufutwa kwenye orodha ya vyama vya siasa...
Let's say, mfano ingetokea fujo pale, akafa au wakafa watu wengine pale, tunadhani Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi au Sisty Nyahozya angefanya nini kwa CHADEMA...?
Obviously, wangejenga hoja ya kufutwa CHADEMA hasahasa ikizingatiwa kuwa kwa Sasa Tundu Lissu na wenzake wamejifungia sehemu kuandaa kesi kumshitaki Susity Nyahozya (Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa) na Awadhi Hajji (Kamishina wa Mafunzo naOperesheni za Jeshi la polisi) aliyeongoza Operesheni ya kuwapiga CHADEMA kule Mbeya siku chache zilizopita bila sababu na kinyume cha sheria....
Haya mambo ni AKILI KUMKICHWA....