Tahadhari: Mbowe usipobadilika, kuna siku utazomewa kama Masauni

Mbowe ni kiongozi , watu hawana budi kutambua hili, alafu kuna mambo yanahitaji wisdom na sio emotion katika kuyatatua. Tukio lile ni mtego mkubwa Sana Kwa Mbowe angeshindwa ingeonesha hafai kuwa kiongozi wa chama kikubwa kama chadema.
Hao nyumbu ndo hao kipindi kile Malwai wanaleta chochochoko Kwenye ziwa Nyasa, Wanashadadia tu tuwapige.

Uongozi ni busara na kubalance mambo, Nje ya hapo ni uanaharakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…