Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

System bado ina woga
Kwanza inamuamini Nyerere asilimia 100
Kwa hiyo hawawezi kuachia Muungano ufe
Ndo maana Seif hatapewa hata ashinde..
As long Chadema wako na Sera isiyokubalika na system kwenye Muungano
System itawa reject tena
 
System gani hiyo?? Labda ile ya Lumumba. Hapa nazungumzia system inayoongoza nchi.
 
Kama umemaliza round ita malaya akakutie madole,mgombea wako amelala barabarani na leo.
Kufanya mkutano mkubwa kama wa Lissu ndani ya mpinzani wake Chato is not a joke aisee.
 
System wengi wetu tumekulia kwa viunga vya chama tumesomeshwa na chama tumeapa kukilinda milele hata akipata kura yake na ya Janet tutahakikisha atatangazwa ila mkiamua nyie raia ndiyo wakuibadilisha nchi mkisubiri sisi mtangoja milele
You are very right. Nchi zote waliomalizana na vyama chakavu ni wananchi wenyewe walivimba. So, hata sisi tupambane.
 
Mkuu elewa nilichoandika ,nimesema majina feki ni ya watu wa bara ambao ni wafanyakazi wa serikali icluding vyombo vya usalama,narudia tena ni wabara(Si wa zanzibar na baadhi hata huko zanzibar hawapajui,ushahidi upo,nimetoa angalizo ,jaribu ku search mtu anayefanya kazi serikalini wa huku bara unaweza ukalikuta jina lake kwenye daftari la wapiga kura ZEC na si mzanzibar).
 
Waambie mkuu nani alikuwa na inteligensia Kali kama Gaddafi mgambe tena walilipwa vizuri sana lakini usiombe USA wakuchoke utatoka tu tena Tanzania ni tone tu kwa wababe wa dunia
 
Na Tanzania yetu bado ni tegemezi kwa mambo mengi kama hadi net tunapewa msaada na Hugo huyo mmarekani Tanzania bado sana tuombe mungu tu
 
Sa we unataka wote tujiajiri si itakuwa fujo,wewe kweli ni mbwa. Mfumo wa maisha haupo hivyo wewe bwege.
Kama system ina tengeneza watu kama wewe na kuajiri tanzania inakwenda
 
Waambie mkuu nani alikuwa na inteligensia Kali kama Gaddafi mgambe tena walilipwa vizuri sana lakini usiombe USA wakuchoke utatoka tu tena Tanzania ni tone tu kwa wababe wa dunia
Tz hapa hakuna mmbabe hata mmoja wamuulize Soleiman Kassem wa Iran kilichomkuta.
 
Ni ishara kuwa wanachato walikuwa wanamchora tu
Kwani ni maandiko kuwa ni lazima ukubalike kwenu? Tukimkubali sie inatosha. Usikute hata ww kwenu ni hanangwa tu,ila unakotoa toa ofa ya bia ndo wanakokukubali kupita maelezo.
 
Tz hapa hakuna mmbabe hata mmoja wamuulize Soleiman Kassem wa Iran kilichomkuta.
Kwa hiyo nyie vichaa mnaomba tuchokwe,kwa maslahi ya nani,hizo familia zenu zitasalimika? Hebu kuweni na mawazo bas,na wekeni mtu perfect huko upinzani,kila round mnaweka goigoi
 
Heheh goigoi.... mtaita maji umma mwaka huu
Kwa hiyo nyie vichaa mnaomba tuchokwe,kwa maslahi ya nani,hizo familia zenu zitasalimika? Hebu kuweni na mawazo bas,na wekeni mtu perfect huko upinzani,kila round mnaweka goigoi
 
Kwani ni maandiko kuwa ni lazima ukubalike kwenu? Tukimkubali sie inatosha. Usikute hata ww kwenu ni hanangwa tu,ila unakotoa toa ofa ya bia ndo wanakokukubali kupita maelezo.
Mwaka huu kazi mnayo. Lissu anahenyesha nchi nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…