Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

Imenisahngaza sana yaani Chato tu hawamtaki nani sasa atamtaka?
Wewe na mafanikio uliyonayo kuna baadhi ya ndugu pia hawakumind vilr vile wanakuona muchknow tu hawana muda na wewe sembuse yeye,ndo democracy hiyo wewe ngiri[emoji848][emoji848]
 
Unalewa serengeti za wagombea unakunya kunya humu shwaini. Subiri tuwaonyeshe nini kitengo kaz yake.

Kitengo mna nini, wanaume wazima mnatumikishwa na wanaume wenzenu. Mje mjiajiri kama sisi wanaume wenzenu muone ugumu wa maisha kama hamjaolewa. Unatambia hela za wanaume kisha unajifanya mjanja?
 
Nyie round hii mtakula vifuti vya pua hakuna mtaacha kuiona me nipo humu.
 
Kitengo mna nini, wanaume wazima mnatumikishwa na wanaume wenzenu. Mje mjiajiri kama sisi wanaume wenzenu muone ugumu wa maisha kama hamjaolewa. Unatambia hela za wanaume kisha unajifanya mjanja?
Anzisha hizo fyoko fyoko unazotamba nazo humu kwa hiyo id fake ndo ujue tupo ama hatupo,tunatamba au hatutambi.
 
Wewe na mafanikio uliyonayo kuna baadhi ya ndugu pia hawakumind vilr vile wanakuona muchknow tu hawana muda na wewe sembuse yeye,ndo democracy hiyo wewe ngiri[emoji848][emoji848]
Hehehe wana chato leo watamlaza mtu na viatu.
 
Anzisha hizo fyoko fyoko unazotamba nazo humu kwa hiyo id fake ndo ujue tupo ama hatupo,tunatamba au hatutambi.

Nasema hivi, mwanaume kabisa anayeweza kutamba mbele ya wanaume ni Yule aliyejiajiri. Ww kama umeajiriwa ni mrembo tu kama warembo wengine. Baki hapo kwenye ajira utumwe na wanaume wenzio ujitahidi kupunguza masikini kwenye ukoo wenu. Washamba ndio kuwa wanajivunia matumimizi ya mabavu, lakini sisi tuliokulia mjini tunatumia akili ndio maana tumejiajiri.
 
Sa we unataka wote tujiajiri si itakuwa fujo,wewe kweli ni mbwa. Mfumo wa maisha haupo hivyo wewe bwege.
 
Kama umemaliza round ita malaya akakutie madole,mgombea wako amelala barabarani na leo.
 
Sa we unataka wote tujiajiri si itakuwa fujo,wewe kweli ni mbwa. Mfumo wa maisha haupo hivyo wewe bwege.

Sio lazima sote tujiajiri hilo ni kweli kabisa, lakini kwa mwanaume anayetumia akili lazima ajiajiri, maana hawezi kuwa mtumwa wa wanaume wenzake. Watu wanaotegemea nguvu zaidi kuliko akili, ndio hutetemekea ajira kama ww maana hawana ujanja nje ya ajira. Kama unauwezo wa akili na sio nguvu nyingi akili kidogo, toka kwenye ajira kama hujapauka kama umejipaka mafuta ya taa.
 
Hayo ni mawazo yako ya kibwege,ukijua mtu kama ameajiriwa bas hawez kuwa na biashara au miradi mingine ya maendeleo kalagabaho[emoji42] mnahisi makampuni na vitu vingine mnavyoviona kwemye uso wa dunia ni nyie tu ambao ndo mnajiita ma hustle bwege wewe.
 
Heshima kwenu wakuu" system"

Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.

Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.

Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.

Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.

Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.

Asanteni na kazi njema.

Keep your eyes open!View attachment 1598315

Nakataa, kama kweli kuna kinachoitwa system, then nao ni sehemu ya ujinga tunao ushuhudia miaka nenda rudi.

kama una dora kushinda ni kazima africa... dont waste your time
 
Hayo ni mawazo yako ya kibwege,ukijua mtu kama ameajiriwa bas hawez kuwa na biashara au miradi mingine ya maendeleo kalagabaho[emoji42] mnahisi makampuni na vitu vingine mnavyoviona kwemye uso wa dunia ni nyie tu ambao ndo mnajiita ma hustle bwege wewe.

Ufungue biashara kisha uajiriwe? Hizo biashara za kuendeshwa na ndugu wa mke si ndio zinaishia kuendeshwa kwa hasara, huku ww ukitoa mshahara kufidia hasara? Kwa taarifa yako ukiwa kwenye ajira kisha una biashara ujue unapaka rangi upepo. Na siku ukitoka kwenye ajira na hiyo biashara inaanguka, maana inategemea mshahara na rushwa kujiendesha. Sisi wenye akili tulikataa ajira maana tuliona ni kuolewa kwa hiari. Sasa hivi tumejiajiri na tuna ratiba zetu, sio nyie mnaotumwa kuteka watu kwa mishahara ya kihanithi. Na siku ajira ikiisha lazima urudi bush maana huna ujanja wa mjini nje ya ajira.
 
kama una dora kushinda ni kazima africa... dont waste your time
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyomi lilikuwepo toka enzi za mrema na sio kigezo cha kukubalika wewe mbwiga, waganga wa kienyeji wanajaza watu kwenye tiba zao wakiweka spika kubwa. TAFAKARI
 
ccm warashinda kivyovyote tu
 
Back
Top Bottom