Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

Sitotoka na nitashawishi wenye akili wasitoke
 
Naona wewe hujawahi kuuguza mgonjwa wa muda mrefu nyumbani
 
Kweli Nyumbani sio salama , bora kuwa mtaani, kama upo na watoto mfano mie ambae nimebaki nako kamoja , baada ya 29oct tiyari mpango waende huko vijiji vya mbali ,mimi nabaki Mbwai mbwai
 
nyie vijana wenye pepo wachafu ni sikio la kufa.
Hamuonyeki
Wewe ulisema ni afande moja ya post , nakuuliza swali la pili ,je umeolewa?

Why nakuuliza hivi 29 Dec nimepoteza vijana wangu wawili na hawakuwa kwenye maandamano , sasa kama hujaolewa baada ya nchi kuwa kwa wananchi ,nakutaka uwe mke wa pili , lengo kuu ni kuhakikisha unanizalia watoto watatu yani wafutane kama mapacha ,maana ,mke wangu kipenzi hawezi pata tena mtoto , sababu nazifahamu.

Nipe jibu hapa ili ninapoenda pambania Taifa nijue upo ,na uwe tiyari kuacha kazi iyo mara moja ,namanisha kama hu mwanamke.

Utakula nini ,vaa nini , n.k niachie mimi ,ila uwe tiyari kuacha kazi hii iliyokaa kilaana kilaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…