TAHADHARI: Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni...

Walishapiga pesa kitambo, hivi sasa wanakula ban takatifu na utajiri tayari wanao. Wananchi waliotumia bidhaa hizo ndo walioumia! TBS mnatakiwa kuwa Proactive!
 
Huu ni ujinga sana kama eameshauza huko mtaani na watumiaji waliodhurika watasaidikaje?

Tumezoea sasa haya madhirika kuja na matamko Yao mepesi tuu kama Wa TFDA kuhusu mafuta ya Ubuyu
Mnakuwa wapi siku zote?

Haya yenu huongelewa kwa Chuki baada kuto tolewa 10%?????

Kwanini hamfanyi tafiti mapema?

Sii shangai Serikali ya ccm kila Ofisi muhimu wameweka hapo ma mbumbu wasiojua mbele wala nyuma
 
jana ilikuwa samaki aina10, xjui kesho ni nini tena, tumekwisha
 
Wao wenyewe TBS hawatakiwi kuwepo kwani walishaonyesha ni feki ,mfano mmojawapo ni ile ofisi feki ya kukagua magari Singapore.Hata uwezo wao ktk kukagua nautilia shaka hawaaminiki kabisa hivyo mimi sitaheshimu taarifa zao.Utampaje mtu kibali cha kutumia nembo yako alafu unamwambia nenda ukalete bidhaa zako nije nikague wakati nembo ulishamgawia.Mfano vigae vya Mbezi tiles vina tatizo gani wakati vina ubora wa hali ya juu?
 
vigae vya Mbezi

hapa TBS wanahitaji kutoa elimu kwanza,
manake hivi vigae tangu mwaka 1991 kabla sijaja mjini vilikuwa vinatengenezwa na kuuzwa...vimeanza kuwa sub-standard lini?Je ni muda gani mtu atajua kuwa bidhaa fulani imeshashuka kiwango kama ilikuwa inafikia viwango hapo kabla?!?
 
HIZO BIDHAA ZILIPITIA WAPI KUINGIA KWETU TANZANIA , FANYENI KAZI NA SOURCE OF ISSUE , PEOPLE ALREADY AFFECTED NDO MNAGUNDUA HAISAIDII HATA KIDOGO :A S-key:
 
Habari hizi zinatia kichefuchefu bora wasingetangaza badala yake wangeingia dukani wakakusanya hizo bidhaa halafu wakakeep mute ningewaona poa.lakini hiki walichofanya nikututia hofu tu.
 
Haya tbs wameamka hazina haina pesa wataiba wapi?
 
Tbs ifungwe kuna bidhaa mpaka sasa ziko sokoni asilimia 60 ni feki.
 
Mbona hawajaweka Simu za Kichina!? Mimi namiliki pikipiki aina ya Shineray, nikaitupe au niifanyeje, hawa tbs ni wababaishaji tu, hawana lolote jipya!!??
 
majina ya watengenezaji /wasambazaji katika mabano ni pamoja na karatasi laini ‘tissue' za Alawi Supplies ya Zanzibar, Milk Marie Biscut za Britania, Maji ya Great Zone, Mishipi na nyavu za kuvulia samaki za Imara Fishnet, maji ya Raha na fulana za Kibo Trade.

Bidhaa zingine ni matofali ya GM Gross, taulo za watoto za Hengan Sanitary, baadhi ya rangi za Chui, beteri za Dry Cell, magodoro ya Jumbo foam, sabuni za Mbasira Investment ya Shinyanga, mifuko ya plastiki ya Centaza na mafuta ya kupikia ya Sun Flower Seed (Sun Shine) na korosho zinazosambazwa na Frabho Enterprises.

Pia taulo za wanawake za Sythentic Detergent (ARIEAL) za Procter&Gambler, mifuko ya B-Twill Jute na A-Twill, mifuko ya plastiki ya Tropical, mafuta ya kupikia ya Sun Flower ya A TO Z Oil Mills, Korosho za Munawar ya Mbeya, Sabuni za kunawia za Brite Chemicals, pipi, lawalawa, mipira ya kutafuna ya rangi mbili.

Vilainisha vya injini (Saud Oil) za Star Composed, betri za 777 kutoka China, maji ya kunywa ya Shia yanayotengenezwa na Siha Beverage, mtindi wa Morani Dairy ya Tanga, pikipiki za Star Shineray, vigae vya Mbezi, sabuni ya Liquid Detergent, mbao zilizotiwa dawa za Mombo, Jam iliyochanganywa ya Les Group ya Musoma.

Orodha hiyo pia inataja Jusi za nanasi za Unnat Fountain ya Morogoro, Maji Uluguru, springi za magari za kampuni ya TASIA, Gypsum zinazotengenezwa na Tanzania Gypsum ya Dar es Salaam, Maji ya Uzima, magodoro ya Plyfoam,Mvinyo wa nanasi wa Kivumbui ya Arusha na mabati ya RD Roofing & Wire Product.

Bidhaa zingine ni unga wa sembe wa Kweniml ya Machame Kilimanjaro, boriti za Ravji Manufacturing, mafuta ya breki za magari ya Automotive Pa

a Dar es Salaam, maJi ya kunywa ya AAMFA, pikipiki za Foshan Fost za China na mvinyo wa matu
 
Hivi kitu gani kifanyike ili mridhike kila kinachofanywa hata kama kizuri lazima mseme vibaya,mbona mnatumika vibaya kuzidi co**m
 
Wakiziacha wamekula rushwa wakizizuia wanataka rushwa Watanzania tunahitaji Mabadiliko.
 
Ziliingiaje hizi..na hizo zinazotengenezwa Tanzania ziliingiaje sokoni bila kupita huko TBS na TFDA?
 
Mwenye kosa n muuzaj au mtengenezaj na msambazaj? Hawa TBS Wanatutangazia il iweje badala ya kuwaface wahucka, mwenye stock yake dukan atafidiwa na nan waache kutia wafanyabiashaja jamba jamba bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…