TAHADHARI: Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni...

TAHADHARI: Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni...

Hakuna lolote! Hapo ni rushwa tu zinatafutwa!

sasa ndugu wafanyaje ndo watanzania turizike cz wasinge tangaza ungesema hawafanyi kazi yao wanaruhusu bidha feki ku2athiri, sasa wametangaza kuwaepusha watu na madhara bado unadai hakuna lolote eti wanataka rushwa! EMBU WEWE TUAMBIE SASA WAFANYENINI NDO UONE WAMEFANYA KAZI?
 
Hoja si kwamba bidhaa hizo hazifai bali ni "kutokana na muda wa kuitumia nembo ya kampuni hiyo katika bidhaa zao kumalizika na wahusika kushindwa kuwasilisha bidhaa zao kwa ajili ya uhakiki kabla ya kuruhusiwa tena."

Kama TBS wanafanya kazi yao sawasawa inakuaje kuna bidhaa nyingi feki hapa nchingi? au ni katika mtindo wa kukusanya mapato tu bila kujali adhari za walaji? sasa hao muda wa kutumia nembo umeisha wanatolewa fasta kwenye magazeti. Bidhaa feki zimejaa madukani TBS wako kimya? huo ni uungwana kweli?
 
mimi na hoji hivi na wale wananchi walioko vijijini ambao wananunua vitu kwa mangi,na hata redio hawana serikali na TBS wanampango gani nao?JK na CCM yake wote ni wezi na majambazi
 
Hawana wajualo. Wanatafuta kushitakiwa huku hela za kulipa fidia zitatoka kwenye kodi zetu. Ni watu wasiojali na wasiojua kazi yao. Hao waambie kusafiri ndo wanajua... Vifaa vingapi vya maabara hawajui kuvitumia.
 
Mbona zipo nyingi sana.....simu sijaona kuna simu feki...nyingine mpaka nliona ina jina langu....laini nane
 
Uzuri washamba la bibi msimu wote wa mwaka ni mavuno tuu.
 
Nawapongeza sana TBS lakini nashangaa sana maji ya kunywa ya Acqua Rock yanayotengenezwa jijini Mwanza hayajapigwa burn, kwani ukiyanunua unakuta yanauchafu ndani na hapa camp watu wengi wameugua sana typhoid kwasababu ya hayo maji, na tulipobadili ina ya maji tatizo likaisha.
 
Ifikie wakati serikali iwe wakali kwa wafanyabiashara wanaohatarisha maisha ya watanzania kwa kuuza bidhaa zisizo na viwango. Pia wananchi tusikubali kununua bidhaa bila kuichunguza kama imeidhinishwa
 
Back
Top Bottom