Nawapongeza sana TBS lakini nashangaa sana maji ya kunywa ya Acqua Rock yanayotengenezwa jijini Mwanza hayajapigwa burn, kwani ukiyanunua unakuta yanauchafu ndani na hapa camp watu wengi wameugua sana typhoid kwasababu ya hayo maji, na tulipobadili ina ya maji tatizo likaisha.