Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,365
- 1,473
Balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi ambae anatamka maneno haya unataka aitweje?👇Unataka kiongozi ambae anasema kuwa asiposhinda uchaguzi ataiba kura aunde serikali kwa mabavu aitwe kuwa ni kiongozi mzuri na wa kidemokrasia?!Samia kwa maneno yake mwenyewe amethibitisha kuwa ni dikteta na hafai kuwa Rais wa Tanzania.mara hii ameshakuwa dikteta?aiseee.safari bado ndefu