Kiongozi ambae anatamka maneno haya unataka aitweje?👇Unataka kiongozi ambae anasema kuwa asiposhinda uchaguzi ataiba kura aunde serikali kwa mabavu aitwe kuwa ni kiongozi mzuri na wa kidemokrasia?!Samia kwa maneno yake mwenyewe amethibitisha kuwa ni dikteta na hafai kuwa Rais wa Tanzania.