DOKEZO Tahadhari: Unakula kuku au vibudu?

DOKEZO Tahadhari: Unakula kuku au vibudu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Vibudu vya kuku mbona kawaida tu ... Kipindi kile Cha kusagirisha kuku kwenye boot , pale Ubungo, gari kutoka Singida ilikuwa ikiingia tu wahuni wanaizunguka! Ili kujinyakulia kuku waliokufa safarini!
Kuna Mtu aliniambia usile kuku wa kienyeji maeneo ya Ubungo! Sijui kule Mbezi hali ikoje,ingawaje hata usafirishaji wa kuku kwenye mabasi umepungua!
 
Pia ukienda sokoni kununua kuku hakikisha wanamchinja kuku ukiwa unamuona. Usikubali waende sehemu ambayo huoni. Wengi huwa wanabadilishiwa anachukuliwa kuku aliyekufa wana kata kichwa na kumyonyoa na kumkata vipande kuku aliyekufa alafu mzima wanabaki nae anarudishwa bandani .
Aseeeeeh
 
Naonaga hata ng'ombe akifa anapakizwa kwenye guta wanamfunika sijui wanapeleka kuzika wapi[emoji1]
Ng'ombe ,mbuzi tunakula sana vibudu hakuna MTU atakubali hasara Kwa ng'ombe wa 600+ atauza ht laki au laki mbili akifa Ili tu apunguze maumivu
 
Pia ukienda sokoni kununua kuku hakikisha wanamchinja kuku ukiwa unamuona. Usikubali waende sehemu ambayo huoni. Wengi huwa wanabadilishiwa anachukuliwa kuku aliyekufa wana kata kichwa na kumyonyoa na kumkata vipande kuku aliyekufa alafu mzima wanabaki nae anarudishwa bandani .
Hii kali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wakizungu unaexlude broiler na wanayai ambao ndo wanapikwa bar wakisema ni wa kienyeji au unamaanisha nn
Wale ambao wanajitafutia chakula kwa kuparua parua chini hivi mi ndio nawaitaga wa kienyeji.
 
Mimi nilijiapiza sitokula tena nyama ya kuku kwenye vibanda vya chips mitaani wala hotel.

Hii ni baada ya kumwona jirani yangu mmoja mgalatia akiwanyonga kuku shingo na kuwaweka kwenye kiroba tayari kwa kuwapeleka sokoni kuuza.

Yule dada alikuwa jasiri sna,,.

Nikasema kuanzia leo nyama za kuku wa kununuwa mitaani sasa basi.
 
Back
Top Bottom