Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Ni kweli nawaona wengi wananawiri wanawake wanapendeza kweli. Tatizo maisha wame ya frame kwenye kula na kuvaa hata akilala chooni anaona sawa haya mambo yana mwisho huko mbele utakuja kudhalilikaSema wananawiri sana na Bar zinajaa Kila siku, I think ni suala la uchaguzi tu wa MTU
Duniani tu wapitaji! Why investing mahali ambapo huna future napo?Ni kweli nawaona wengi wananawiri wanawake wanapendeza kweli. Tatizo maisha wame ya frame kwenye kula na kuvaa hata akilala chooni anaona sawa haya mambo yana mwisho huko mbele utakuja kudhalilika
UnadanganyaDuniani tu wapitaji! Why investing mahali ambapo huna future napo?
Ukweli wanaishi maisha ya tabu japo wengi wao naona wanaona ufahari kuishi jiji la Daressalam🤣🤣🤣Wanalala kwenye box
Hahahahaaha hahaahhaaa hahahahahaUnadanganya
🤣🤣🤣🤣Waje tule parachichiUkweli wanaishi maisha ya tabu japo wengi wao naona wanaona ufahari kuishi jiji la Daressalam
Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkutiDuniani tu wapitaji! Why investing mahali ambapo huna future napo?
Joto linang'arishaSema wananawiri sana na Bar zinajaa Kila siku, I think ni suala la uchaguzi tu wa MTU
Ling'arishe penye dhiki😳Joto linang'arisha
😳🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗Hahahahaaha hahaahhaaa hahahahaha