Nani mwenye uhakika wa kufika huko mbele? Maisha ni leo mkuu.Ni kweli nawaona wengi wananawiri wanawake wanapendeza kweli. Tatizo maisha wame ya frame kwenye kula na kuvaa hata akilala chooni anaona sawa haya mambo yana mwisho huko mbele utakuja kudhalilika
Sample yako iko biased maana imechukua aina flani ya maisha yaani uswekeni tena sio uswekeni sana kama tandika kaburi moja.Nimefanya sampling
Na usipokufa huko mbele itakuwaje? Au ndio utakuwa mzee wa gahwa na maneno mengiNani mwenye uhakika wa kufika huko mbele? Maisha ni leo mkuu.
Vunja mifupa angali bado meno yapo, kufa kwaja
Usekweni kaaribu na ubungoSample yako iko biased maana imechukua aina flani ya maisha yaani uswekeni tena sio uswekeni sana kama tandika kaburi moja.
Ni kweli hata kuamua kufa masikini ni kupanga pia.Kupanga ni kuchaguaaaa
We Jamaa una Uelewa Mdogo Sana kuhusu MaishaUsekweni kaaribu na ubungo
Kwani ukiwa tajiri haufi?Ni kweli hata kuamua kufa masikini ni kupanga pia.
Na usipokufa huko mbele itakuwaje? Au ndio utakuwa mzee wa gahwa na maneno mengi
Haya ni maoni yangu kulingana na jinsi nilivyowaona vijana wa daressalam unaweza kukubali au kupinga kwa hojaWe Jamaa una Uelewa Mdogo Sana kuhusu Maisha
Hapa DSM ndo Sehemu pekee Unaweza kutoboa Maisha endapo utawekeza akili na Muda vizuri
Umri kuwa mkubwa then hauna chochote haisabibishwi na kuishi mjini mfano Mimi nayachukulia Maisha katika uwanja wa kuishi katika Leo na sio kesho ambayo hujui Kama utaifikia ,
Akili yako usiifanye iwe Kama ya mtoto Mdogo ya kuamini Maisha ni lazima ujenge nyumba uwe na gari tu
Kuna watu pesa zao na Nguvu zao wamewekeza ktika kusaidia Yatima ,wajane ,wafungwa no
So ishi Maisha yako huko mikoani unapoona Maisha Ni mazuri nambie unamiliki kitu gani na umetoa Ajira kwa watu wangapi? Kama tu juzi Kati ulikuwa unalalamika Mama yako anakuomba pesa na huna , think twice sio unaandika Andika.
Na usipokufa huko mbele itakuwaje? Au ndio utakuwa mzee wa gahwa na maneno mengi
Hoja ndo hiyo huwezi kulalamika kuwa watu wanapoteza Muda wakati hakuna ambaye amekuja kwako kukuomba UgaliHaya ni maoni yangu kulingana na jinsi nilivyowaona vijana wa daressalam unaweza kukubali au kupinga kwa hoja
Majuzi nilikuwa Kijijini nikakuta dogo mmoja ambaye alikuja kutafuta vibarua mashambani miaka 3 iliyopita mwaka jana akaamua kukodisha shamba ekari moja na kulipa mpunga. Baada ya kuvuna na kuuza dogo amepata milioni 6 cash!! Amenunua bodaboda/pikipiki mpyaaa na msimu huu kakodisha ekari mbili na zote ameshazipiga mpunga, amenunua mbolea na madawa yote. Kwa hii bei nzuri ya mazao kama itaendelea ina maana dogo anaweza kupiga zaidi ya milioni 10 na kuongeza bodaboda ya pili. Hivi huyu dogo umwambie aende Dar akazurure kwa kupata elfu 5 au 10 atakubali???waende wapi?
Hatimaye roho yako imefufuka sasa baaada ya ban[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanalala kwenye box
Hahahah daaaah buhingwe utakuwa wa kusubiri tarehe ya mshahara tuuu maana hakuna cha kufanya palee,,,,, safi kabisa umeongea point mkuuHata Yesu mwenyewe kwenye biblia alikuwa akipiga mishe zake nyingi downtown... ukisoma biblia utaona alikuwa akikutana na watu mjini Yerusalem, Nazareth hadi Galilaya. Mara chache alikuwa akienda kijijini kwa kina Mariam Magdalene.
Hii ina maana tangu kuwepo kwa dunia mjini ndo kuna unafuu wa maisha. Kwa nchi ya TZ ni rahisi zaidi kufanikiwa ukiwa DSM wala haihitaji utafiti wowote. Bora ulipwe laki 3 mjini Dar kuliko kulipwa laki 5 wilayani Buhigwe.
Ulaya Wabongo wengi wanapoteza muda kwamba hawana shughuli za uhakika za kufanya zaidi ya show offs na title?[emoji38][emoji38][emoji38]Sio dar tu mpaka ulaya. Kuna uzi nilieleza kuhusu mtoto wa ndugu yetu nilishambuliwa vikali.
Bahati nzuri nimefika nchi na kukaa ila kama unaona sio sehemu yako riziki toka kama kuna michongo fanya labda itafika.
Chips za 2000 utakuta wanakula wanaume wawili. Na ndiyo lunch hiyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ukweli wanaishi maisha ya tabu japo wengi wao naona wanaona ufahari kuishi jiji la Daressalam
Achana nao Mwizukulu wabishi hao. Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizukuru mgikuru[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Si useme kuchagua tu kwani hayo ma a-a-a mengine yana nini au umeongea kwa kipaza sauti?Kupanga ni kuchaguaaaa
Hajaumia ametoa ushauri. Hutaki achana nao wanaotaka wataufuata.Mkuu kwa nini unaumia na maisha ya watu wengine. Kimbizana na maisha yako subiri kifo chako.