Sahihi kabisa, maisha yako ya uzeeni yataeleza watu kwamba ujana wako uliutumiaje. Mahangaiko ya mwanadamu akiwa na nguvu ni ili aweze kupata utulivu akiwa hana nguvu/uzeeni. Mdudu nyuki huwa anatengeneza asali ili imsaidie kama chakula kipindi miti haina maua/kiangazi, sasa ikiwa mdudu tuu anajua kufikiria kesho yake iweje kwa wewe binadamu?Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Sasa si kila mtu anaweza kuwa na huo mtaji wa kufungua frame on time. Issue ni watu warudi mikoani wasijaze ardhi bure huku na kupoteza muda.Dar ukiwa na mtaji na frame ukapata sehemu nzuri unapata hela.
Huo mzunguko wa hela mnadanganyana nao siku hizi kila mkoa upo.
Wewe baba yako alikuwa wapi wakati wenzake wakipambana kutengeneza life la watoto wao?Hawatuonei huruma bali wanatucheka kivile wao wanakula na kusazaa kingine wana wapa mbwa
Huwa sipendi mtu anae dharau kipato cha mwezake wengine mpo ivyo kwasababu baa zenu wamewatengenezea mazingira mazuri
Haumii ameshauri. Hutaki acha hajalazimisha watu wauchukue ushauri wake.Pole sana utaumia bure!
Hebu iulize Serikali yenyewe na hao viongozi hadi mkuu pamoja na kupiga debe la Dodoma ulikotokea, mbona wako Dar kila siku kama sio wiki??!
Sawa wako vijana wengine Kwa kweli wanaishi maisha wayapendayo wenyewe wiki bila kuoga! Kula chips dume na energy!!
Katika ulivyotaja mbona hakuna cha ajabu. Unatoka mkoa gani wewe? Kigoma au?Dar kubwa mkuu..
Nenda kidibwi au mliman samakisamaki kuku na sehemu za starehe tabata huko ndio utajua hujui.
Hahah.. Ni shida kweli kweli.Ulikuwa unataka wasife?
Maneno ya kimasikini haya hayafai kusikilizwa asree ukiyaweka moyoni hutatoboaDuniani tu wapitaji! Why investing mahali ambapo huna future napo?
Umeambiwa mzunguuko wa fedha mzee sio unachaondikaWe ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Exactly bro exactly [emoji817] mi mwenyewe Kuna ndugu zangu naona kama mababwa mi. Ni mdogo nawasalimia ila nawaona washenzi sana imagine at 48 huna nyumba,gari,hela,biasharaMimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Hakuna ambae amekupangia pa kuishi mkuuHuwezi kumpangia Mtu Sehemu ya kuishi labda Kama unauchizi kichwani waacheni watu waishi watakavyo
Looooh murife parakwingi ghaille kuna mtu kaingia 2008 saivi ana ingiza million 13 daily kkoo hivyo labda Mungu hakumpangia awe tajiri hahahahaha [emoji274]Naunga mkono hoja kaka angu ameingia dsm 1990 hadi leo hana hata baiskeli ...yaaan huwa najiulza mambo mengi sana
Sasa kwa mtoa mada anaombwaje atoe ushauri humu JF? Unajuaje je, kuna watu walimuomba awashauri huko mtaani?Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kuhusu mambo wasiyoyafahamu, kwa watu wasiowajua.
Ni kama wewe Kiranga ndiyo hujaelewa mada na umekurupuka. Umeandika above kuwa Wabongo ni mabingwa kushauri pale wasipoombwa KWA VITU WASIVYOVIJUA. Sasa kakujibu kuwa hivyo vitu anavyoshauri anavijua na ndiyo maana kashauri.Kwani wapi nimesema hujaona? Umeelewa hata point zangu?
AiseeePiga kazi mzee, vijana wengi wa dar es salaam wanategemea urithi
Mbona mnaumia mno? Nyie ni wahusika bila shaka.[emoji38] [emoji38][emoji38] jiwe la gizani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkalime huko vijijini kwenu mikoani msije dhalilika uzeeniAchana na huyo fala hakuna anachojua anaongea anachoskia DSM IS NOT FOR EVERYONE
Sio mengi bali yote.Daslm inatakiwa waongezeke maana mzunguko wa pesa ni mkubwa kuliko maeneo mengi ya Tanzania...
Dsm kuna watu wanauza maji pale Kivukoni wanapata faida ya 2300 katoniShida wanakalili yaani mtu huko mkoani akila ugali na mchicha bas anajua dar tuna angaika ugali kuupata mkuje dar muish wakau siku nne muone watu wa mkoani ushamba unawasumbua