mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Kiranga huyo mtu alijirusha kwa bahati mbaya au makusudi kwa LENGO mahsusi ya kujiua?Hata yule kijana aliyejirusha kutoka ghorofani pale Morogoro Road akaangukia kwenye Simtank na kufa, akiamini kwamba yale maji ya kwenye Simtank yangemuokoa asife, alikuwa na nia njema ya kutuonesha umahiri wake katika mchezo mpya wa kuruka kutoka ghorofani.
Nia njema inaweza kukuua, tuongelee usahihi na tija ya mantiki katika hoja, sio nia.
Na kwenye usahihi na tija ya mantiki kwenye hoja, ushakubali kwamba mtoa mada kakurupuka kuwahukumu watu kabla hata ya kuwahoji awaelewe.
Kwa mtaji huu, unaweza kumlaumu victim wakati anayestahili lawama umemuacha.
🤣🤣🤣Yeah,nipo mbeyaNilishangaa baada ya kuona comment moja unasema upo Mbeya!
Mafanikio ni vile vyote alivyonavyo mtu(kwa upande wa material things naelezea), ambavyo vinamrahisishia maisha na hivyo kuyakabili mazingira yanayomzunguka kwa urahisi.Mafanikio ni nini?
Nia njema ya mtoa mada inawezaje kumuua msomaji?Hata yule kijana aliyejirusha kutoka ghorofani pale Morogoro Road akaangukia kwenye Simtank na kufa, akiamini kwamba yale maji ya kwenye Simtank yangemuokoa asife, alikuwa na nia njema ya kutuonesha umahiri wake katika mchezo mpya wa kuruka kutoka ghorofani.
Nia njema inaweza kukuua, tuongelee usahihi na tija ya mantiki katika hoja, sio nia.
Na kwenye usahihi na tija ya mantiki kwenye hoja, ushakubali kwamba mtoa mada kakurupuka kuwahukumu watu kabla hata ya kuwahoji awaelewe.
Kwa mtaji huu, unaweza kumlaumu victim wakati anayestahili lawama umemuacha.
Konda nashuka kituo kinachofuata 😆😆🤣🤣🤣Yeah,nipo mbeya
🤣🤣🤣🤗Konda nashuka kituo kinachofuata 😆😆
Sijakutaja wewe, nimemtaja ngumbaru mmoja.mkuu niombe msamaha mimi sio ngumbaru...nina diploma ya ustawi wa jamii, diploma ya uuguzi na ukunga na shahada ya miradi (project planning)
Umejiridhisha vipi kwamba hao watu wanatambua maana ya mafanikio kama wewe?Mafanikio ni vile vyote alivyonavyo mtu(kwa upande wa material things naelezea), ambavyo vinamrahisishia maisha na hivyo kuyakabili mazingira yanayomzunguka kwa urahisi.
Kila mtu anavyo vyake. Ila common kwa wengi ni nyumba bora, gari japo la kawaida la kutembelea, kula vizuri, kuvaa, ku save pesa ili ku invest n.k!
Kiranga bado una swali?
Wanao wataishije Sasa ?Duniani tu wapitaji! Why investing mahali ambapo huna future napo?
Ndio nimetoka Milembe. Mimi ni dokta mahali pale.Mh! Umetoka milembe nini cheki thread zangu kidogo...
Alafu wewe mjinga SanaMafanikio ni vile vyote alivyonavyo mtu(kwa upande wa material things naelezea), ambavyo vinamrahisishia maisha na hivyo kuyakabili mazingira yanayomzunguka kwa urahisi.
Kila mtu anavyo vyake. Ila common kwa wengi ni nyumba bora, gari japo la kawaida la kutembelea, kula vizuri, kuvaa, ku save pesa ili ku invest n.k!
Kiranga bado una swali?
Kumbe na wewe ni mdau, nashukuru kulitambua hilo.Ule ni ugali au uchafu?ndio maana kipindu pindu hakiwaishi
Kwani wapi nimesema nia njema ya mtoa mada inaweza kumuua msomaji?Nia njema ya mtoa mada inawezaje kumuua msomaji?
"Umejiridhisha vipi kwamba hao watu wanatambua maana ya mafanikio kama wewe?"Umejiridhisha vipi kwamba hao watu wanatambua maana ya mafanikio kama wewe?
Umejiridhisha vipi kwamba hao vijana wanaweza kuyapata hayo mafanikio vizuri zaidi nje ya Dar?
Kiranga mbona unapoteza kumbu kumbu kiasi hiki? Umekuwa na tabia kama za pitbull?[emoji38]Kwani wapi nimesema nia njema ya mtoa mada inaweza kumuua msomaji?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Hujanielewa. Soma kwa umakini. Are you frustrated?Alafu wewe mjinga Sana
Nyumba
Gari
Unaona ni Mafanikio ??? Ndo maana Mimi nawaona wabongo Kama Nguchiro tu
Mafanikio yenu ni upuuzi mtupu, baada uangalia utaacha vipi Legacy we unawaza kuwa msindikizaji katika hii dunia
Wewe mtoto Mdogo u nothing to lecture meHujanielewa. Soma kwa umakini. Are you frustrated?
Ndiyo mnapokosea wazee wa kiafrika. Umri ni no kwenye uchambuzi wa hoja. Jifunze!Wewe mtoto Mdogo u nothing to lecture me