mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Ndiyo! Kwa sababu unataka kufahamu. Nitakujibu hivi, siwezi kuthibitisha kwa kuwa sina hela kama Musk.Mkuu,
Nikikutaka wewe unithibitishie kwamba una hela kuliko Elon Musk, wakati wewe hujasema kwamba una hela kuliko Elon Musk, utaona swali langu hilo lina mantiki?
Na leo bei ya chai China ni shilingi ngapi?Ndiyo! Kwa sababu unataka kufahamu. Nitakujibu hivi, siwezi kuthibitisha kwa kuwa sina hela kama Musk.
Chai kwa kiwango kipi? Kikombe chenye chai au zao la chai?Na leo bei ya chai China ni shilingi ngapi?
Na gari lenye matairi mabovu ubovu wake unaanzia rangi gani?Chai kwa kiwango kipi? Kikombe chenye chai au zao la chai?
Mimi si mechanic sina uelewa na mambo ya rangi yanavyoanzisha ubovu wa magariNa gari lenye matairi mabovu ubovu wake unaanzia rangi gani?
Unaona ubaya wa kumlazimisha mtu kujibu swali ambalo si lake sasa?Mimi si mechanic sina uelewa na mambo ya rangi yanavyoanzisha ubovu wa magari
Ubaya gani?Unaona ubaya wa kumlazimisha mtu kujibu swali ambalo si lake sasa?
Swali linakosa mantiki.Ubaya gani?
Swali halikosi mantiki Kiranga. Kila swali lina mantiki. Labda wewe ndiyo ushindwe kulijibu.Swali linakosa mantiki.
Kama nikikwambia "Thibitisha kwamba rangi ya wimbo wa taifa ni hudhurungi", wakati wewe hujatoa dai kwamba rangi ya wimbo wa taifa ni hudhurungi, sasa hapo mzigo wa kuthibitisha unaupata vipi?.
Mantiki ni nini na kwa nini kila swali lina mantiki?Swali halikosi mantiki Kiranga. Kila swali lina mantiki. Labda wewe ndiyo ushindwe kulijibu.
Kutoka mtandaoni; ni ya elimu jinsi ya kutoa hoja sahihi.Mantiki ni nini na kwa nini kila swali lina mantiki?
Wewe hujui mantiki ni nini?Kutoka mtandaoni; ni ya elimu jinsi ya kutoa hoja sahihi.
Swali lako la pili siwezi lijibu kwa sababu halina mantiki kwangu.
Wewe huyu mwehu humuwezi Toka atumbuliwe na jpm kawa chizi. Mpotezee anakupotezea muda.Kutoka mtandaoni; ni ya elimu jinsi ya kutoa hoja sahihi.
Swali lako la pili siwezi lijibu kwa sababu halina mantiki kwangu.
"Unaelewa ushakubali si kila swali lina mantiki?"Wewe hujui mantiki ni nini?
Unaelewa ushakubali si kila swali lina mantiki?
Unaelewa ushaji contradict wewe mwenyewe kwa sababu awali ulisema kila swali lina mantiki?
Mkuu mimi nimetoka Tanzania kuja New York City utawala wa Mkapa halafu nimerudi likizo Tanzania mara moja tu kwa wiki tatu utawala wa Kikwete.Wewe huyu mwehu humuwezi Toka atumbuliwe na jpm kawa chizi. Mpotezee anakupotezea muda.
Itafahamikamikoani wilaya unamznguko mkubwa wa pesa tatizo akili yako aina mzunguko
Hujajibu hata mantiki ni nini."Unaelewa ushakubali si kila swali lina mantiki?"
[emoji115]
Sijakubali umeona vibaya Kiranga
ItafahamikaEndelea kujidanganya