Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
- Thread starter
-
- #341
nazungumzia upotezaji wa muda kwa maisha ya daressalamAisee! Unataka kuniambia Dodoma vijana vibarua wanalipwa 10,000/= na zaidi! Iko hivi, katika maisha na utafutaji hilo lipo popote duniani!
Mate, you're arguing with a nitwit.Hoja ni kwamba wewe huna hoja.
A self-contradicting dumbass.Kutoka mtandaoni; ni ya elimu jinsi ya kutoa hoja sahihi.
Swali lako la pili siwezi lijibu kwa sababu halina mantiki kwangu.
Soma uelewe vizuri. Lina mantiki ila siyo kwa upande wangu, hivyo atafute mwingine anayeweza kumjibu ambaye litakuwa na mantiki kwa upande wake. Product ya Mburahati nini mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]??A self-contradicting dumbass.
Yani unasema kila swali lina mantiki halafu hapohapo unasema swali uliloulizwa halina mantiki!
Huu ushuzi unaandika, kwa hiyo kila mtu akiliona swali halina mantiki kwake,Soma uelewe vizuri. Lina mantiki ila siyo kwa upande wangu, hivyo atafute mwingine anayeweza kumjibu ambaye litakuwa na mantiki kwa upande wake. Product ya Mburahati nini mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]??
"Huu ushuzi unaandika, kwa hiyo kila mtu akiliona swali halina mantiki kwake,Huu ushuzi unaandika, kwa hiyo kila mtu akiliona swali halina mantiki kwake,
hilo swali litakuwa na mantiki au halina?
Wewe hata hujui unachokiandika ni nini.
Huelewi kama unaandika kwa kujipinga mwenyewe.
Huuoni ushuzi unaoandika hapa.
I'm outta here.
Bora ulipwe 250k Dar kuliko 400k Sumbawanga.Utoke dar uende wapi?
Ni bora hata hapo unapata hiyo 4500 au 7000, ukirudi huko ulikozalizwa hiyo buku 4 huipati na bado unabebeshwa zigo la kule ukoo..
Na hapohapo unakutana na watu ambao wao wanaona wameshamaliza kisa wamejenga nyumba ya tope na anamiliki ng'ombe mmoja.
Simshauri mtu ahame mjini daslam aisee, kama una degree basi jiji linakutunuku masters.
Lakini yote yanategemea akili yakoBora ulipwe 250k Dar kuliko 400k Sumbawanga.
Ela ya bia je??Karibuni Singida huku mapori bado ni mengi huwezi kukosa sehemu ya kulima mihogo ya chai Asubuhi
πππMkuu kwa nini unaumia na maisha ya watu wengine. Kimbizana na maisha yako subiri kifo chako.