TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

Ni kamaa mtu ana ndinga kali Hana nyumba au kama mtu anapendeza Hana ela au mtu ana geto Hana kitanda analala nje Kuna mtu anachafua meza ila Hana pa kulala hayo yote inategemea na priority ya mtu
 
Kukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.
We ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
 
😂😂 zamani ilikuwa kwamba habari za tajiri muulize Maskini, ila hata siku hizi matajiri mnafuatilia sana habari za maskini tushawashtukia !!
Mradi mtu hakai barabarani kuomba anajipanga !! Mtawakatisha tamaa eti wanapata afu tatu kwa siku wataacha mtasema panya road !!!

Wote tunapambania kombe
 
Kuna wengine na mshahara uho uho tunasomesha wewe ushazoe kupata ujira mkubwa kwahhiyo ujira mdogo uwezi kukutosheleza

Ndio maana ata bajet zet zina tofautiana mwenye pato kubwa anabajet yake kubwa na mimi mdogo nina bajet yangu ndogo kulingana na pato langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…