Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Tabia ya watu wa JF mkwara wa kutosha eti watu wanalipwa kidogo ! Huko maofisini wanakunja mioyo madogo hata barua za field zinatupwa !! Wafanyakazi wa nyumbani kwake anawacheleweshea mshahara na anawafanyisha mikazi ya kutoshaUshauri wako ni mzuri,,sasa unawashaulije? (Suruhisho)
Halafu kwanza tabia ya watu kutuonea huruma wenye kipato kidogo sijui inatokea wapi wakati hamna anayeenda kuwasumbua magetini kwao !Kuna wengine na mshahara uho uho tunasomesha wewe ushazoe kupata ujira mkubwa kwahhiyo ujira mdogo uwezi kukutosheleza
Ndio maana ata bajet zet zina tofautiana mwenye pato kubwa anabajet yake kubwa na mimi mdogo nina bajet yangu ndogo kulingana na pato langu
Sasa na uconservative wako unategemea nini? Tofauti na basic stuff mnazozoea huko mikoaniWe ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Exactly, na ndio maana nikasema pote ni gereza na muhimu ni kuchagua wapi utakaa.Sio kweli mkuu maisha popote instegemea shughuli unayofanya
We ushawahi kaa huku au unaongea kama malaya kaona biaWe ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Bora Yako wewe umejichimbia chaka minjingu huko ukichoma mkaa.Ushauri Mzulu Mwizukulu Jilala.
Halafu kwanza tabia ya watu kutuonea huruma wenye kipato kidogo sijui inatokea wapi wakati hamna anayeenda kuwasumbua magetini kwao !
Ukiufika uzee ukawa huna pa kuishi Na nguvu huna uje kwenye huu Uzi usome ulichokiandika ujananiDuniani tu wapitaji! Why investing mahali ambapo huna future napo?
Hizo ni assumptions tu hata huko mikoani inawezekanaDar ukiwa na mtaji na frame ukapata sehemu nzuri unapata hela.
Hakuna anaeumia na maisha ya mtu mimi huwa ni mtu mmoja poa sana halafu huwa sipendi unafiki, huwa nafarijika sana nikimuona mtu wangu wa karibu anafanikiwa nakuwa na matumaini kuwa ipo siku atanibeba au atawabeba watoto wangu, sina roho mbaya kama ya magufuri mimi kwamba akikupa ajira ukoo wenu mzima mtakuwa mmetoboaMkuu kwa nini unaumia na maisha ya watu wengine. Kimbizana na maisha yako subiri kifo chako.
Hizo ni assumptions tu hata huko mikoani inawezekana
Pole sana utaumia bure!Nipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika
Nieleweshe ili nielewe vinginevyo unapoteza mudaWew wa mkoani hatuwezi kukuelewesha ukaelewa
Dar kubwa mkuu..Nipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika
Nazungumzia asilimia kubwa ya watu sio akina flaniDar kubwa mkuu..
Nenda kidibwi au mliman samakisamaki kuku na sehemu za starehe tabata huko ndio utajua hujui.
YAANI KUKAA WIKI MBILI DAR USHAANZA NA KUTOA USHAURI KWA MALEJENDARI WALIOKAA DOWNTOWN HAPA MIAKA 40!! KIJANA RUDI DODOMA HARAKA KAENDELEE NA KILIMO CHA KUFA NA KUPONA.Nipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika