TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

sitaki nihame haraka niende wapi bila mipango?
 
Kukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.
Haha kutoboa dar ni kupata za kwenda kidimbwi labda.

Dar watu wanaishi kiujanja unja tu.
Naifahamu Dar vizuri sana.
Nipo Dar tangu 1994.

So nina uzoefu wa kutosha kuhusu fitina za Dar.
 
Mkuu; Kwa kawaida muda haupotezwi hata siku moja ila muda unatumika vibaya. Mbona muda (Time) upo siku zote?
Umesema kwa kipato wanachokipata wanakula, wanavaa na wanapendeza na mengineyo ...e.g.Kodi ya pango,umeme, n.k hapo shida iko wapi? Ungelisema wanaiba/wezi, wanashinda vijiweni bila kazi n.k. hakuna wanachoingiza kihalali mifukoni mwao ningekuelewa. Unashauri wahame Dar waende wapi? Hayo uliyobaini wanayafanya na yanawawezesha kuishi kwa amani hapo Dar ungeliwaacha tu mkuu usiwanyanyapae. Kesho yao iko mikononi mwao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…