TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

Ungetoa Suluhisho Kwao nini cha Kufanya badala ya Kuwasimanga hivi ningekuona una Akili sana sana kwa Ulichokiandika hapa nakuona ni Mtu Mswahili, Mshamba wa Mafanikio ya Ghafla ( pengine ya Uchawi, Rushwa na Dhuluma ) uliyoyapata ( uliyonayo ) na una Dharau na Unafiki mwingi.

Hovyo kabisa......!!!!!!
 
Kuna wengine hapo Arusha anakwambia siwezi kuishi sehemu nyingine zaidi ya Arusha na wakati huo huo anakung'uta vumbi.

Ila kuna kitu wengi hawakijui, ukitoka sehemu moja kwenda nyingine kuna kitu utakiona na kama akili yako ipo sawa hicho unachokiona ndiyo fulsa yako, tatizo wengi hawaongei na nafsi zao, wanadhani atashuka malaika kumwambia "... wewe pesa ile pale.."
 
We **** nin Unafikil kila mtu anae kaa huku anateseka ukwel ni kwamba sehem yoyote ile ukiwa huna ishu lazima uone mambo magumu haijalish dar au wap ,,,Huo ushoga labda baba ako ndo shoga
 
Ona hili jamaa, ivi Kuna binadamu asiyetaka maendeleo? Binadamu yupi anapenda umasikini. Poor people are still existing nimeamini yani JITU lina mawazo mgando kwanzia kwenye imani mpaka kwenye real life situation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…