Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ona hii mbuz inayoish tabata haijawah hata kufka hapo gairo acha kukaril maisha ndio mana dar ushoga unashamil kulko mikoan kwasababu ya ugum wa maisha sio tabia wala homon utakuta umeliwa tacore il ulipiwe chumba kinondon miez sita wakat mkoan iyo kodi n ya miaka miwil kalien kukomaa na dar muone mspoishia kua ma chawa
Achana na huyo fala hakuna anachojua anaongea anachoskia DSM IS NOT FOR EVERYONEAcha kututukana
Uliingia kichwa kichwa pole😂By the way kwetu mbeya ila nimezamia dsm toka 2009 na familia yangu yote nimeanzisha hukuHilo jiji nyoso sana nashukuru ile siku nilipofanya maamuz ya kulikimbia.
Now nipo mbeya naona mwanga.
Dar nitarud kula bia nakusepa.
Si Bora kuishi Dar kuliko Katavi,au Rukwa,miradi mingi mikubwa ya ujenzi inapatikana Dar,kazi za vibarua ni nyingi zaidi Dar,kitakwimu kila nafasi 10 za ajira zinazoaptikana nchini,nafasi nane Sawa na asilimia 80,zinaaptikana Dar!Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo
Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.
Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo
Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.
Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
Achana na huyo fala hakuna anachojua anaongea anachoskia DSM IS NOT FOR EVERYONE
Unadanganya
Wewe hujui chochote kuhusu Dar ila Kaa ukijua Dar Kila mtaa una Bei zake za chakula hata wali samaki wa jero ukitaka unapata na ukitaka wali samaki kwa 10000 pia utapata fanyeni tafiti kabla ya kuongea msiyoyajuaWe ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Wewe Dar huijui na kama ulifika basi ulikuja kusalimiaWe ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Pm ....Naomba connection huko mkoani
Lakini kunawengine wamengia mwaka Jana na sahizi Wana altezaNaunga mkono hoja kaka angu ameingia dsm 1990 hadi leo hana hata baiskeli ...yaaan huwa najiulza mambo mengi sana
Jilala na Etwege wahame mji haraka aibu isije kuwaangukiaUshauri Mzulu Mwizukulu Jilala.
Endelea kujidanganya,wajomba zangu waliondoka home wakiwa wadogo kabisa ,tumeletewa maiti TU,Kukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.
Waje hapa mvumi tulimewaende wapi?
Laki moja?Kiufupi Mimi naona watu wanoishi dsm wamefanikiwa.
Hapa DSM bodaboda ana Huwezo wa kusave,laki moja kila wiki sasa ni Nani aondoke hapa DSM ???
🤣🤣🤣🤣Muulize Magu kama jamaa anadanganya, kama hutomuona Magu wa kuuloza, ujue ni ukweli
Huo mzunguko wa hela mnadanganyana nao siku hizi kila mkoa upo.Kukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.
Ukikomaaa mwenyeweLaki moja?
Mbona tungefanya wote hiyo kazi mkuu.
Acha kabisa,nilikua na bajaji na pikipiki zangu mbili ,ilibidi Niuze kwa hasara tu kuondokana na ile adha