TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

umenishema mimi nafanya kazi sokota kwenye kiwanda cha nondo kutwa sh 8000 kazi ngumu moto mkali sana

nauli kwenda na kuludi sh 1200
chai 1000
mchana 1500
maji 1000

salio 3700

bado familia inataka kula kodi ya nyumba kutibiwa kuvaa

nauli ya juludi kijiini kwetu sina umri wenyewe umesha nipa kwaheli miaka 40 sasa hehe hatari
 
Pole sana..
Mie nalima viazi na mihogo..
 
Sawasawa mkuu..
 
Huu ni ubinafsi, wewe hufai hata kuwa kiongozi. Mleta mada amewasaidia vijana kwa walau kuwapa maono ya ni nini kufanya katika hatua fulani.

Sasa wewe hutaki wenzako wagutushwe eti.

Amewasaidia nini, kwani wao hawana maono hadi waamue kukaa Dar es salaam kutafuta hayo maisha.

Huwezi kujudge watu namna iyo.
 
Wajaamua tu kujikita katka kutafuta pesa, wapo mahali sahihi kwa utafutaji ila tu hawajafanya maamuzi sahihi katka life style zao.
 
Hama daressalam
 
Endelea kujidanganya,wajomba zangu waliondoka home wakiwa wadogo kabisa ,tumeletewa maiti TU,
Mkuu, inategemea na shughuli unayofanya pamoja na kiwango cha elimu na exposure uliyo nayo. Kwa mfano ukija dar huna elimu ni kazi sana kufanikisha malengo yako. Au ukija dar within 5-10 years hujafanya cha maana basi jitafakari upya.
 
Mkuu, inategemea na shughuli unayofanya pamoja na kiwango cha elimu na exposure uliyo nayo. Kwa mfano ukija dar huna elimu ni kazi sana kufanikisha malengo yako. Au ukija dar within 5-10 years hujafanya cha maana basi jitafakari upya.
Dar Ni jiji Safi kwa wenye pesa TU Ila kwa mtu anayeanza kupambana life...sio mahali pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…